@raphynmso@WideEdson unajua maana ya passes in the final third lakini,kumbuka hapo rodri alikuwepo kwenye pivot yake,jambo ambalo lilikuwa linamruhusu yeye kucheza free zaidi๐ค
@raphynmso@WideEdson ni mpira wake,lakini leo touches zake zilikuwa hazina impact kwenye translation wakati timu inataka kushambulia.
acha kulalili mpira kabla ulivokuwa unakalili historia darasani