@sportshqtz Yn unaweza ndio ukawa msimu wakutisha kuliko yote kwn cc tunaangalia majina ya clubs lakn atuangalii vikos na mda wa ss upoje nw atuangalii history ya timu nw tunaangalia ubora wa vikos na kizaz cha sasa
@Skyfly_gains Ila kiongoz wetu huyu haelewek kabisaa yn kuna time anakuwa poa kunatime anakuwa mkali kuna time daah nashindwa kuelew ila jmn mheshimiwa rais c kasema mtu akifa azikwe kusiw na hili na lile uyu tena anatoa wap maneno mengne