Degree unazoweza kusoma YouTube for FREE na zikakukomboa for a lifetime
-Artificial Intelligence & Machine Learning
-Digital Marketing, UX/UI & Creative Tech
-Financial Technology (FinTech) & Blockchain
-Cybersecurity & Ethical Hacking
-Biotechnology & Genetic Engineering
Dah🤔
Kwa wanaume.
Ukiwe kwenye nafasi ya kumsaidia mwanaume mwenzako, fanya hivyo. Hii ni dunia ni ngumu, watu wanatembea na mizigo mikubwa, unachokiona kidogo, ni kikubwa kwa mwingine.
NAMNA UNAVYOTAKIWA UI'TREAT PESA BASED ON LAW OF ATTRACTION.
Pesa si kitu cha nje tu bali ni uhusiano uliopo kati yako na namna unavyoifikiria. Kwenye Law of Attraction, pesa huja kulingana na hali yako ya ndani, sio tu juhudi zako za nje.
A Thread 🧵
Ukipoteza NIDA Id’ unatakiwa upeleke
1. Loss report
2.barua ya serikali ya mitaa
3.cheti cha kuzaliwa copy na orrignal
4.Nida Id ya Mzazi kama hana upeleke kiapo
5. Passport size 2
6. Elfu 20.
Mambo kibao utadhani unataka u renew uhai..🙌🏾