@FatmahShokat Katika kitu nimejifunza ndani ya hii miaka miwili ni kuwa Wanawake ni wabinafsi sana tena sana wanachojali ni maisha yao binafsi na sio ya mtoto wala familia (japo sio wote ila % kubwa wabinafsi sana)
@TillertheWorld Wenzetu unakuta mtu ana 40+,50+ lakin hana kitambi yupo fit physical
Kutana na sisi sasa yan kitambi na unene ndo njia yakutafsiri mafanikio ya mtu dah
@Msafiri_Jona Jamii yetu yakitanzania pamoja na familia zetu pia ni chachu ya matukio kama haya
Watu tunapitia mengi na pale unapojaribu kumshirikisha unaemwamini au unaehis anaweza kukusaidia na yeye anakupuuzia ndo husababisha matokeo kama haya