Baada ya miaka 4 kupita bila kufika Arusha hatimaye nipo tena na wanangu wa TUKUSA,tukutane tarehe 6 jumamosi hii kwenye TUKUSA FESTIVAL itayofanyika Ubalozi wa Ufaransa pale kama ambavyo bango linajieleza ๐
" Maneno ni ya ki Maalim , Flow nazo ni Sugu sababu Kinywa ni Complex tukirap we don't do Casual "
@dizastavina , kwenye Uandishi huu Hapa wametajwa Maalim Nash, Mr Two Sugu na Marehemu Complex.
๐