@Joshua83933663@Jambotv_@aloyce76911887 Wewe ni mwongo mwenyewe unayetetea ujangili ambao wahifadhi wanawafanyia wananchi. Inawezekana wewe mwenyewe ni moja wa majangili WANAOLALAMIKIWA.
@mwigulunchemba1 Your honor, Dr Mwigulu Nchemba. Your English language gives us proves that your PHD Thesis sounds as organized in Swahili language and translated in the calss mandeted language. It is true that we still have a long way to go and reflect our knowledge.
@Nnauye_Nape Wewe sio wa kutoa ushauri wowote kwa watanzania. Watanzania hatuna hakili isipokuwa wewe tu. Hakili zako zinajua kukufanya ujione ni bora zaidi ya wengine kwa kuweka wazi kiburi chako. Familia za watawala huwa mnasau kuwa mali za taifa sio za kwenu peke yenu. Ni za watz wote.
@MarijaniKolimba@dr_bashiru Aliuomba urais wa nchi yetu ili atufanyie nini kama chakula hawezi kuleta wala mabwawa ya kusalisha umeme hana uwezo wa kunyeaha mvua. Kama hawezi kufanya hivyo vyote hana sababu ya kuendelea kuwa na nafasi yetu.
@fatma_karume Nawe mdada wa taifa visiwani, muachane na Bashiru. Pangeni safu zenu vizuri, uchaguzi unakuja msije kulalamika tumeibiwa wakati mnatumia muda kujadili ya CCM ambao mwisho wa siku wanakuwa wamoja kukivusha chama chao. Mnagaragazwa alafu mnakimbilia mabalozi wa nje kuomba huruma.
@SuluhuSamia hakuna viongozi wanaomiliki ng'ombe kijijini. Madai kama hayo yanalenga kupotosha ukweli ili watu masikini waumizwe. Wafugaji masikini kijiji wamejinyima miaka yote wakaridhisha mifugo kwa familia zao. Wasikuposhe, kuna lengo la kumiza masikini.
@SuluhuSamia Mhe Rais, kwanza nakusalimu, "shimamoo mama" pili nakutia nguvu uendelee kuwa kiongozi wa haki kwa taifa lako. Wafugaji wamelengwa kufilisiwa kwa madai ya uongo. Ukanda wote EAC kuna ukame na kote sio wafugaji wa Tz waliosabisha. Fikiria zaidi.
@mkainerugaba MK, we always support the postive thinking to transform Africa. Our current generation have a serious roles to play. We are at the position to determine the African future now and later. We must ask yourself what is our roles as man power of Africa to address
Tanzania is our country and it belong to all of us. The sweet soils of our country should accommodate our diversity. President, consider marginalized communities when constituting head of Social institutions. I am patriotic to global legislation that not living any one behind.
Polisi na maafisa wa uhamiaji Mkoani Kagera watazamwe upya. Kazi yao kubwa sasa ni kuwatafuta wageni wa Rwanda na Uganda? Kwani watz wanatokea mikoa ya pwani tu? Kwani mipakani watz hawapo? Unatazamwa pua, Vidole na meno kweli? Utz unapimwa hivyo? should Chage. @SuluhuSamia
@mchengerwa_m wote uliowateuwa ni watanzania wenzetu kweli lakini wote hawa hakuna hata moja anayekumbuka mila na utamaduni wake ukimuondoa mrisho mpoto. Jitahidi uboreshe, uwalete wamaasai, wagogo, wasukuma na wairaq. #MillardAyoUPDATES
Where is the Africa we wanted since the independence. What is locking Africa back to poverty up todays. What is happening to young African generation. Where our common agenders to transform Africa economy. @ridhiwankikwete@mkainerugaba@hpolepole@Duduzane__Zuma@ntlhapa