Mbunge wa Kyadondo Mashariki nchini Uganda, Robert Kyagulanyi (Bobi Wine) anatarajia kurejea nchini humo leo, akitokea Marekani alipokwenda kutibiwa. Amesema, licha ya kuwa ana hofu, lakini Uganda ndio nyumbani kwake na kwamba anategemea chochote kinaweza kutokea mara tu akifika.
Development should be people centred.hizi fly over ivi mwananchi wa mbozi ambae hata ndoto ya kufika Dar hana ivi inamnufaishaje jamani mtuambie. #ChangeTanzania#ElimikaWikiendi#DemokrasiaYetu
RAIS MUSEVENI: SIWEZI KUWA RAIS WA TAIFA AMBALO RAIA(WAGANDA) WANAUAWA NA WAUAJI WASIJULIKANE
> Mwaka 1989 Rais Museveni alisema kuwa hawezi kuwaongoza Waganda endapo Raia watakuwa wanauawa na Vyombo vya Ulinzi vishindwe kuwatambua wauaji
Soma ~ https://t.co/Ux9DsGrtpl
#JFLeo
Mvinyo uleule kwenye chupa mpya. Hawa wazee tungewaacha wapumzike na heshima zao walizojijengea muda mrefu. Kama ni mchango kwa Taifa hili mmeutoa sana Wazee wetu. Nawaomba mlione hili. Muweze kumwambia Rais wetu inatosha, mnahitaji kupumzika kwa AMANI.
Busara ya uongozi kusema kwa busara kwa wale unaowaongoza. Kumbuka kuna wenye umri sawa na Baba yako na Mama na pengine babu na bibi. Matusi na lugha mbaya haiwatengenezei wananchi kukuogopa badala yake kukudharau na kukupuuza. Lugha chafu ni ulimbukeni.
Hapa ni Kanda Maalum π yaani elected MP anamjibu elected Rais - mhimili moja kwa mwingine π
Ila @hechejohn majibu yako "ukiniambia hivyo nashindwa kujibu " π yalilenga kumwelewesha Mh Rais ila sasa hatuna tafsida na kauli ya kuremba huko Kanda Maalum ndo shida
#ChangeTanzania
Mwaka Mmoja wa Bunge la JMT bila Tundu Lissu umetuonesha umuhimu mkubwa sana wa Tundu Lissu katika mijadala: kuibua masuala, kukosoa na kuisaidia serikali kupata fikra na mawazo mbadala katika masuala makubwa ya Kitaifa. Tukubaliane kwa dhati kabisa kwamba Taifa linamhitaji TL.
Ifike mahali tuwaamini maexpert wetu. Kila kesi ya mwalimu watu wote mahakimu. Huyo mwalimu ni professional teacher, ethics of teaching profession anazifahamu. Chunguza tukio toa uamuzi sahihi sio kuropoka viboko vifutwe. #ChangeTanzania#ChangeTanzania#zuiaukatili