Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali, Mhe. Deo J. Ndejembi (Mb) ameongoza kikao cha Wataalam kwa ajili ya kujadili maandalizi ya Utekelezaji wa Miradi ya Bonde la Mto Msimbazi na Mradi wa Uendelezaji Jiji la Dar es Salaam awamu ya pili (DMDP 2).
Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) umejipanga kuhakikisha kwamba wanaongeza nafasi za wahandisi wanawake kwa kuwajengea uwezo ili kuona wanashika nafasi za juu za uongozi katika idara mbalimbali za taasisi hiyo ili kuleta ufanisi wa kazi na utekelezaji wa majukumu.
Maombi ya usiku
Ee Baba, Mikononi mwako naiweka Roho yangu.
Tunakushuru Mungu kwa mapaji yote uliyotujalie leo. Ee Mungu wa majeshi Tunakushuru kwa wema wako umetulinda mchana kutwa mpaka kufikia sasa tunasema Asante sana.
#SAUTMwanza Public Lecture on Catholic Values and Identity
The lecture will be addressed by His Grace Jude Thaddeus Ruwa’ichi OFM Cap, Archbishop Archdiocese of Dar es Salaam
Wednesday 28th June, 2023 at M-15 Lecture Hall
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Denis Londo ametoa wito kwa wananchi wa Wilaya ya Kilosa Kijiji cha Berega Kata ya Berege kulitunza na kulilinda daraja la Berega- Dumbalume linalojengwa chini ya TARURA.
Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imekua sehemu ya Taasisi zilizozindua mkataba wa Huduma kwa Mteja ili kuwezesha wananchi kuwa na uelewa juu ya huduma zinazotolewa na Wakala lakini pia namna ya kupata haki na huduma mbalimbali.
Wakati wa kwenda Kulala.
Ee Mungu wangu, pokea Roho yangu, kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo aliyesulubiwa. Ninalala ili nipumzike. Unibariki Ee Bwana , na unikinge, uniepushe na Kifo cha Ghafla na kisichotarajiwa na hatari za zote pamoja na wewe unilie uzima wa Milele. Amina
Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Miundombinu Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhandisi Reagatus Mativila amefanya ziara ya ukaguzi wa ujenzi wa barabara zilizo chini ya TARURA mkoani Iringa ambazo ni Mtili-Ifwagi Km 14, Wenda-Mgama Km 19, Sawala-Lulanda Km 10.4 kwa kiwango cha lami.
Wananchi wa mikoa ya Iringa, Tanga, Lindi na Geita wanatarajiwa kunufaika na Mradi wa Uboreshaji wa Barabara Vijijini kwa Ushirikishaji wa Jamii na Ufunguaji wa Fursa za Kijamii na kiuchumi (RISE), ambapo shilingi bilioni 822 zitatumika kuboresha miundombinu ya barabara vijijini.
Waziri wa Nchi, OR-TAMISEMI Mhe. Angellah Kairuki amesema mradi wa uboreshaji wa barabara za vijijini kwa ushirikishaji na ufunguaji wa fursa za kijamii na kiuchumi (RISE) unaotekelezwa chini ya TARURA utajenga barabara Km 535 katika mikoa 4 nchini.