@ManenoIzaak@bajabiri Tambua aina za bati na bei zake hapa https://t.co/Vjg9SFiV3h kwa maswali na ushauri tuwasiliane 0713379921. Pata kilicho bora.
warranty miaka 15. Nembo maalum kuepuka kutapeliwa.
#TwitterGulio
@FMusilimu Sio rahisi..,kuna taaluma bila kuwa regulated hasa hizi zinazogusa maisha ya watu moja kwa moja na kuacha watu wajifanyie kiholela tu madhara yake ni makubwa uko mbeleni...
Taalamu zina mambo mengi sana ndani yake.
Ilianzaje?
Fuatilia uzi huu wenye slides 10 nilizojaribu kueleza haya yote yalipoanzia.Kimsingi hata haya tuyaonayo sasa ni maandalizi mahsusi ya yajayo.
Siku nyingine nitakueleza tunaandaliwa kwa lipi.
Fuatilia👇👇