Kuna jamaa alinunua shamba huko macha hapo 2010 na akafence then kuna beshte yangu(Sila) alikua anajipendekeza sana kwa huyu jamaa na walikuwa wameongea story kuhusu ile nyumba alikua anataka kujenga hapo then one day my Sila akaona lorry imebeba mawe wakiulizia njia coz hawakua wanajua vizuri mahali walikuwa wanaenda then Sila akadhani hiyo mawe ni ya yule jamaa mwenye ile shamba na akapeleka hawa watu wa lorry hapo na akakata fence ndio lorry iingie then after lorry kuenda Sila akapigia yule jamaa simu akamwambia mawe imefika sasa wanaeza anza kazi! Huyo jamaa akaambia Sila yeye ajatumana mawe iletwe na akamwambia atoe hiyo mawe hapo na arudishe fence yake vile ilikuwa! kidogo hivi naye mwenye mawe akakuja ๐ญ Sila alibebeshwa hiyo mawe na mkokoteni siku nne akaona hiyo kazi haiwezi isha ikabidi atoroke kwao kiasi akaenda mafichoni๐
Out of curiosity, do other countries live in a continuous state of politicking like Kenya? We have been in a political atmosphere since 2017 with no rest at all. A much needed break is needed after 2027.