"Education is the most powerful weapon which you can use to change the world." โ Nelson Mandela ๐๐
Today, on #MandelaDay, we honor Madiba's legacy by continuing the fight for equal and inclusive education for all. Let's be the change. ๐ช๐พ๐๏ธ #MandelaDay2025#EducationForAll
Wakati tumeona ujumbe wa @MaembeVitali basi tutoe sadaka kwa Voda No. 0764979232 Jina VITALIS MAEMBE ili apate nguvu ya kuendeleza mapambano anatengeneza hii kitu anatumia muda, akili, mavazi, vifaa mambo ya kufanya editing, studio n.k, Hakuna anachopata Tumtie Moyo! Repost hii
Sheilla Kipuyo, Afisa mawasiliano kutoka Taasisi ya Medea akielezea namna mafunzo aliyopata yatakavyo rahisisha kazi zake za kila siku lakini namna ambavyo anatumia kufanya uhakiki wa habari anazozipata mtandaoni.
Msikilize hapa ๐
#AIinJournalism#TMC#AI4MD#UNESCO#IPDC
2024 has been a transformative year for us defined not only by the impact of our programs, but by the resilience of the communities we serve and the creativity of our approach.
We invite you to dive into our latest report and explore the stories, milestones, and impact achieved.
Siku ya Ijumaa tulifanya Preview Screening ya Stolen Innocence na timu ya watayarishaji wanaohusika na kutengeneza documentary hii, wataalamu wa vyombo vya habari kutoka Azam Media na wasimulizi wa hadithi katika majadiliano ya safari ya utayarishaji na uwezo wa utetezi wa filamu
MEDEA Tanzania is excited to announce an opportunity to join our growing team as a Community Manager for the newly established Jenga Sauti Hub in Arusha.