@OpiumX_29 I thinks religious should teach young that money should not be taken by religion instead maonye should personal defence than spirituala knowledge
@Buyagali87@earadiofm Hakuna anayetumia boom vibaya kama mtu aliweza soma Kwa ada ya Mzee adi form six .Hilo boom kazi yake ndo hyo kula kunywa na kununua videsa nauli na Kodi Kwa waishio mtaani. Yeye mshahara wake ameifanyia Nini jmiii
"Hapo, yule jemedari alipoona yaliyotukia akamsifu Mungu akisema; “Hakika huyu alikuwa mtu mwema. ”Watu wale wote waliokusanyika hapo kwa ajili ya tukio hilo, walipoona haya yaliyotukia, walirudi makwao wakijipiga vifua kwa huzuni," Mathayo 27:47-49. Heri ya Ijumaa Kuu. Tukienzi kifo cha Yesu Kristo kwa amani, utulivu na tafakuri zenye busara.