Clubs that have qualified for next season’s CAF Champions League so far:
🇩🇿 MC Alger
🇦🇴 Petro de Luanda
🇿🇦 Orlando Pirates
🇿🇦 Mamelodi Sundowns
🇧🇮 Aigle Noir
🇿🇲 Power Dynamos
🇧🇫 Rahimo FC
🇹🇩 Foullah Edifice
🇬🇳 Horoya AC
🇨🇮 ASEC Mimosas
🇲🇼 Mighty Wanderers
🇲🇿 UD Songo
🇸🇨 Foresters FC
🇿🇼 Scottland FC
🇲🇷 FC Nouadhibou
🇸🇸 El Merrikh Bentiu
🇧🇼 Gaborone United
🇲🇺 La Cure Waves
🇹🇳 Club Africain
🇳🇦 African Stars FC
🇱🇸 Lijabatho FC
🇳🇬 Rangers International
🇳🇬 Rivers United
🇹🇳 ES Tunis
🇷🇼 APR FC
🇬🇭 Medeama SC
🇨🇮 FC San Pedro
🇦🇴 Wiliete
🇸🇿 Nsingizini Hotspurs
🇱🇷 Watanga FC
🇺🇬 Vipers SC
🇪🇬 Zamalek SC
🇪🇬 Pyramids FC
🇰🇪 Gor Mahia
🇲🇱 Djoliba AC
🇸🇳 Teungueth FC
🇸🇩 Al Hilal
🇩🇿 JS Saoura
🇸🇩 Al Merriekh
🇱🇾 Swehly Club
🇹🇩 Aiglons FC
🇳🇪 ASN Nigelec
🇩🇯 AS Port
🇧🇯 AS Sobemap
🇲🇱 Stade Malien
🇨🇩 TP Mazembe
🇨🇩 Aigles du Congo
🇪🇹 Sidama Bunna
🇹🇿 Simba SC
🇹🇿 Yanga
The list will continue to be updated with time.
#CAFCLwithMicky
#AfricanFootball
Kwa kijana mwenye kuanzia miaka 15 Hadi 30 na anakunywa pombe Kali na kuvuta sigara namshauri aache!
"Kwanini"?
Pombe Kali mix na Sigara humfanya kijana akose hamu ya kula na kufanya kazi, matokeo yake anakata tamaa na kupoteza mwelekeo wa maisha yake.🙏
✍️ @ntemi_okisukuma
@ArthurGeil Tuko wengi usiogope
Tenda matendo ako ya utu linda rohi yako , linda riziki zako
Ishi na ndugu..jamaa na marafiki kwa upendo
Ull never regret
Ukiangalia zile Clip za maandamano unaona kabisa kuna Vijana ambao waliingia kwa kufuata mkumbo wanaimba kwa kufuata ushabiki hawakuwa wanajua wanalolifanya kwa hiyo kama Mlezi kama Mama ndio maana naelekeza Vyombo vya Ulinzi na Usalama hasa Ofisi ya DPP kuchuja viwango vya makosa na kwa wale waliofuata mkumbo basi waseme nao kisha wawaachie - Rais Samia Suluhu Hassan Bungeni leo. #MillardAyoUPDATES #SSHBungeni
Vijana wa Tanzania Nchi hii ni yenu kwa shida zozote zile zinazowakabili msikubali hata siku moja kushawishiwa kuichoma Nchi yenu wenyewe msikubali kukata Tawi la Mti ambao mmeukalia msikubali kabisa hili nawaomba mlikatae kwa nguvu zenu zote ninyi ndio Walinzi na Wajenzi wa Taifa hili nawasihi kamwe msije kuwa Wabomoaji wa Taifa lenu. - Rais Samia Suluhu Hassan Bungeni leo. #MillardAyoUPDATES #SSHBungeni