@JoyceHuru@munyamambogo Ni ukweli, mm leo nilikua na Asante Rabi ya Arusha saa 2 usiku napitiwa Goba njia 4, imepita saa 4. Ila navyoongea Chuma ni 100+km/h aseee, davoo hashuki hapo. Arusha mapema sana
@YOUNGIBIS@zoetjesheeftX Yaan ashirikishe wizara! Mzee hii Autopilot Govt. Si ndo amekaribisha wezi na kudhurumiwa wajimilikshe wao. Mama hapo amalizie ajitawale, akitokea jamaa waelewane tu.
@Jovin_festo @privaldinho Unaaongea kama una hisa MOSSAD mzee. Sote tunapata news kutoka kwa hao wanao control media. Iran kuna maeneo kaweka decoys air defence systems. So wanaziacha zinapigwa but sio real missile launchers na defence systems. Kwan yeye anapiga kutokea wap? Alijpanga na anajua yote hayo
@EngMapundajr Asee. Kitambo sana watu walishashtuka, gari zinafungwa. mm nmenunua chuma naipeleka mwz, nikapita Ulemo, Singida kabla ya misigiri kwa mzee mmoja akaiweka sawa. Yanaibiwa magari ya majirani na kwangu hakuna shoga anaosogea mwaka wa 2 huu.!Na hakuna mlinzi.
@Mrsbajabir We ni Takataka kabisa. Kama akili yako ndogo ndo unaona alivyoongea kua inaweza kufanya watu wasahau ukatili uliofanywa. Tanzanian pipo sio wa miaka ya zamani. Usiwe selfish wa kufikiri. Hayo ni maneno tu.
@JabulaniRadio All the way from Dar es Salaam, Tanzania. Niko on na Jabulani Radio. I always enjoy those oldies, I inherted from my papa(R.I.P). Kindly add Saida Karoli in your Artists please.
@udsm_icon One of my best movies mzee...Nakubali 100%. Show show za kibabee. Nakumbuka nilimleta demu wa kishua ubalozini nikamuekea hio asee. Baada ya Movie akanibless.
@Wycklyff3@kirigitim Nakubali Hizi chuma mzee znatembea sana. Tulikua na Allys from Dar to Mwz, tulipofika Igunga Blue Star hii hapa...na ilitupita wala hatukuiona tena.