@Chahali Ya October 29 yalibeba hisia za makundi mbalimbali, mfano kuna wanaccm waliokatwa majina yao, wanCDM waliokuwq na kauli ya no reform no elections, na kuna ya wa2 wasio na vyama ila 2 hawakupendezwa na mchakato mzima wa uchaguz ila saiz ni km vile 2nategemea 2 cdm ndio iandamanee
@MDigala24@Wakazi Chadema imeingiaje kwenye hoja na maelezo ya mtu binafs, kuna account za chama zinazotoa maelezo kuhusu maswala mbalimbali ya nchi yetu, kwaio hebu ifolo upate taharifa zaid na uelimike