Rais Samia amesema hivi:
๐ Wao ni wanfunzi wazuri wa MEKO na kawafunza vyema sana kwa miaka hii mi 5
๐Ataendeleza pale alipoishia MEKO
๐Mbaya zaidi karudia kauli zile zile za โmimi ndiyo Raisโ - kauli hi ini defensive na kaongeza wapo wanaosema mimi mwanamke! Mimi ni Rais
The interpreter gone full TBC waving 'kishindo cha awamu ya tano'. Full of propaganda to propagate the eulogy of the late John Magufuli on his today's requiem mass.
Huyu Mkalimani (mkaliwao) kapotosha hadharani tena msibani. Msiba wa shujaa wa Afrika.
https://t.co/25p2UWw5vG