@martinimsele3@AbroadTanzania Hiyo ni kwenye siasa! Naijua hiyo phrase sana tu! Buffon alicheza mpaka miaka Mingapi? Maldini? Luka Modric now ana mingapi? Tulia!!
@AbroadTanzania Ukweli yeye hata wakati Ronaldo akiwa na umri wake timu aliyokuwa anachezea iliwa kuwa kwenye nafasi ile kwenye Ligi? Yeye ameachieve nini? Ana makombe mangapi? Ameshakuwa mchezaji bora wa dunia mara ngapi?