Napenda tu kuwakumbusha watanzania kuwa haya matamasha na mpira inatumika kuwatoa kwenye mambo ya msingi ,Afande sele kawakumbuka wenzetu waliotangilia mbele ya haki kaliwa kichwa. kaondolewa kwenye kikundi cha wachawi kwa sababu halogi nayeye.

βNaye Ruthu akasema, Usinisihi nikuache, Nirejee nisifuatane nawe; Maana wewe uendako nitakwenda, Na wewe ukaapo nitakaa. Watu wako watakuwa watu wangu, Na Mungu wako atakuwa Mungu wangu;β
Rut 1:16 SUV