Mungu anaweza kubadilisha hali ya mtu kwa ya haraka sana na kwa njia ambayo hukutarajia ๐
Unakumbuka Story ya Ruth kuwa mwanamke maskini aliyekuwa anafanya kazi shambani ili kupata chakula, lakini badae Mungu alimfungulia njia na kuwa mmiliki wa Shamba hilo kupitia ndoa yake na Boaz.
Kuna muda tunachukulia Neema za Mungu poa sana, tunasahau aliko tutoaa hatushukuru hata kwa kidogo tunachopata ๐
Anyway Mungu atukumbuke kwenye Neema zake kama Ruthu 4:9-10, Ruthu 2:8-9, Ruthu 2:2-3.
Kuna vitu freed me entirely nilipogundua mafanikio yanatoka ndani yangu na sio nje. Something happened to me that revolutionized me forever. I demand more of myself, not externals.
Miaka miwili iliyopita nilikuwa na wazo tu.
Leo nina bidhaa inayofanya kazi.
Kati ya hapo kulikuwa na:
โข Mistari mingi ya code
โข Features nilizodhani kila mtu angezipenda, lakini hakuna aliyekuwa anazitumia
โข Bugs za ajabu zinazotokea usiku kabisa wakati umechoka
โข Mara kadhaa za kutaka kuachana na kila kitu
โข Mara kadhaa za kurudi kuanza upya kwa sababu sikuwa nimeridhika na nilichokuwa nimejenga
โข Na mafunzo mengi kuliko nilivyowahi kufikiria
Watu wengi wanaona matokeo ya mwisho.
Hawaoni zile siku ambazo unafanya kazi peke yako na hakuna anayejua unaendelea na nini.
Hawaoni zile nyakati ambazo unaamua kufuta miezi ya kazi na kuanza tena kwa sababu unaamini bidhaa inaweza kuwa bora zaidi.
Kwa muda mrefu nilihisi bado haikuwa tayari.
Leo ninaiona tofauti.
Sioni kama ni perfect, lakini ninaiona inafaa kuanza kutatua matatizo ya watu badala ya kuendelea kusubiri.
Safari bado ni ndefu.
Lakini tunaendelea.
Code##
Kila nikiangalia juu ya kiti cha Malkia simuoni. Naona kiti kikiwa wazi na mwanaume mwingine amesimama nyuma ya hicho kiti. Kiti cha ufalme kipo wazi. Hakijakaliwa na mtu. Ameondoka hataonekana tena. Nilimuona yule mwanaume anawaza atafanya nini baada ya Malkia kuondoka.
Wanangu naendelea kuwakumbusha 2026 fukuza mwizi kimya kimya ikifika december 2026 hakikisha umemkamata.
Theme ni hii fosi harakati za kimafanikio kimya kimya usiuze code wala usijitambe kwa watu piga ground moves za kibabe trust me zitalipa tu.
Mafanikio sio mashindano period.