Mama yangu akikupigia Simu Muda wa Kazi na Ukapokea.. anaanza Kukufokea haufanyi kazi unachezea Simu๐.
Hata akiwa na Dharula.. ataongea issue yake Baada ya hapo anakusema
Sio mama Yangu tu mzee mto yoyote yule huwezi kunipigia unavyotaka utegemee nipokee simu.
Unapiga kwa vile muda huo upo free una haja na mimi na nitapokea nikiwa free nadhani kama ninaweza kukusikiliza kwa wakati huo.
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry Silaa, amefanya ziara ya kikazi katika kiwanda cha kutengeneza nyaya za faiba na simu janja(smartphone) kinachomilikiwa na kampuni ya Raddy Faiber, kilichopo Wilaya ya Mkuranga, mkoani Pwani.

@EllyElly3642@goligani Inashangaza sana.. hakuna mwenye haki ya Kutukana..
@PMadeleka yeye amefuata Mipango yake tu ya Kuhama Chama which is haki yake Kikatiba
Ghafla wanaanza Kumtukana
Wanajibiwa
Wanageuka Victims... Hii sio sawa
What does it take kwa sisi Tanzania kuwa na kiwanda chetu cha simu?
Inamana kweli there is no one in Tanzania anaweza invest in technology?
Ili hizi mambo za snapdragon sijui takata gani zifanyike hapa kwetu.