@swahilitimes Baraza la Mawaziri lina watu toka UPINZANI, Kwenye maDC na RC kuna watu toka UPINZANI, kuna Wabunge walitoka UPINZANI mchana Jioni wakapewa kupeperusha bendera ya CCM majimboni tuna wenezi mfano wa Banaga kapewa usemaji wa Chama Mkoa wa Dar es Salaam. Sijui nilitaka kusema nini
VIDEO:
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limesisitiza kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 lazima ufanyike kwa mujibu wa Katiba ya nchi, likieleza kuwa Tanzania haiwezi kukaa bila kuwa na viongozi waliochaguliwa kikatiba.
Akizungumza wiki iliyopita katika mahojiano maalumu na Jambo TV, Katibu Mkuu wa TEC, Padre Dkt. Charles Kitima, amesema Katiba ndiyo msingi wa kupata viongozi halali, hivyo ni wajibu wa kila Mtanzania kuendelea kuiheshimu na kushiriki katika mchakato wa uchaguzi kwa amani.
โUchaguzi lazima ufanyike kwa sababu lazima tuwe na viongozi. Sisi kwenye maandiko matakatifu tunampokea kiongozi yeyote anayechaguliwa kwa njia ya Katiba. Nchi haiwezi kukaa bila uongozi, kwa hiyo sisi tupo tayari kufanya kazi na yeyote atakayechaguliwa,โ amesema Padre Kitima.
Amefafanua kuwa, licha ya kuwepo kwa baadhi ya malalamiko kuhusu mfumo au uhalali wa uchaguzi uliopo sasa, bado mchakato huo ni wa kikatiba na viongozi watakaopatikana kupitia mfumo huo watakuwa halali kisheria na kimaadili.
โNi wazi kuna uhalali wa viongozi watakaochaguliwa kwa sababu viongozi hao watapatikana kwa njia ya Katiba. Kama Katiba inatumika, wale watakaokuja ni viongozi halali, lazima tufanye nao kazi,โ amesema.
Padre Kitima amehimiza waumini na Watanzania kwa ujumla kuongozwa na dhamiri safi katika kuchagua viongozi wanaowaamini, akisema uongozi bora huanza na uamuzi wa haki wa wapigakura.
โTunahimiza sana watu waongozwe na dhamiri yao. Dhamiri yako ikuongoze unapofanya maamuzi ya kuchagua,โ amesema.
#Tanzania: authorities must immediately disclose the fate and whereabouts of a former Tanzanian ambassador to Cuba, Humphrey Polepole They must also ensure his safety and bring those responsible accountable.
https://t.co/YnjdT30CCK
Tukiruhusu Ukatili Utawale Tanzania, Tutawezaje Kuwa na Nchi ya Amani?
Na @MabalaMakengeza
Niliwahi kufundisha shule fulani ambapo, mara mojamoja, mwalimu mkuu wake aliamua kwamba, kutokana na utundu au uzembe fulani, wanafunzi wapewe extra drill.ย Ndiyo.
Sijawahi kuwepo jeshini, lakini walimu wenzangu waliniambia kwamba ni hiyohiyo waliyopitia wengine wakiwa JKT. Lakini baadaye walikiri kwamba baadhi ya adhabu walizotoa zilikuwa zimepigwa marufuku jeshini, hasa kwa wanawake, na hii ilikuwa shule ya wasichana.
Na extra drill sio mchezo. Sikujua. Sasa kwa kuwa walimu wote walitakiwa kushiriki kutoa hiyo extra drill, ikabidi niwemo na mimi. Wanafunzi walikimbizwa, wakaviringishwa kwenye mchanga, na hata kulazimika kulala kwenye mifereji yenye maji baridi sana, wakarushwa hata kichura.
Hadi wanafunzi karibu wote walikuwa wanalia, wengine wanatoa udenda kama vile wanataka kufa, wanashindwa kusimama, lakini wanapigwa viboko hadi wasimame na kuanguka tena.
Wengine walizimia, wengine walipelekwa zahanati baadaye lakini adhabu iliendelea โฆ iliendelea โฆ iliendelea hadi baada ya masaa, mwalimu mkuu, ambaye ninao uhakika alikuwa anaangalia akiwa nyumbani kwake maana nyumba ilikuwa ndani ya eneo la shule, hadi akatoka.
Dah maigizo!
Alitukimbilia sisi walimu akihema maana hakuwa mwembamba, akiasa: โJamani walimu, inatosha, inatosha, jamani, maskini wanafunzi inatosha.โ
Endelea kusoma>>>>https://t.co/KnMm5AxfWU
"CCM inaomba mtupe kazi, tukafanye kazi, tujenge utu wa Mtanzania, tuuheshimishe utu wa Mtanzania, na tuulinde utu wa Mtanzania." - Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu kwenye kampeni Buhongwa, Mwanza
Tanzania's๐น๐ฟ recently resigned Ambassador to Cuba๐จ๐บ, Humphrey Polepole, delivers a scathing attack on President Samia Suluhu Hassan and her ruling party, CCM, while warning Tanzanians that the outcome of the upcoming election in October is predetermined.
"There will be no free and fair elections this year. There are none. And here I am speaking to the people of Tanzania. This year there will be no elections. It is CCM against the parties that it has organized with the authorities. CCM is entering the elections on its own. Why should we talk about there being elections when in fact it is a sham? Anyone who loves Tanzania will know there will be no elections this year," he says.
"All Tanzanians stand up, speak loudly and stop this election until we all have a national conversation. I have played my part. Now play yours," Polepole adds.
The diplomat who relinquished his diplomatic role in Havanna and resigned from overseeing his country's interests in the Caribbean, Central America, Colombia, Venezuela, and Guyana, cites serious concerns for his safety stating that "I live in secret because it is no secret that they are looking for me a lot and I ask them why are you looking for me? We gained independence in 1961, and the union in 1964 so that we can be free. Am I a thug? Am I not allowed to speak about my country?" #TanzaniaDecides
@Jambotv_ Jeshi la polisi mpaka leo awajawai kuja na taarifa zozote za uchunguzi hata ule Padri Kitima. Polisi wamebanwa na majukumu mengi wapunguziwe kazi
๐๐จ๐ ๐ฃ๐๐ฅ๐๐ฌ ๐ฃ๐ข๐๐๐ฃ๐ข๐๐
๐ง๐ฎ๐ป๐๐ฎ๐ป๐ถ๐ฎ๐ป ๐ฒ๐ -๐ฎ๐บ๐ฏ๐ฎ๐๐๐ฎ๐ฑ๐ผ๐ฟ ๐ฎ๐ป๐ฑ ๐ด๐ผ๐๐ฒ๐ฟ๐ป๐บ๐ฒ๐ป๐ ๐ฐ๐ฟ๐ถ๐๐ถ๐ฐ ๐ฎ๐ฏ๐ฑ๐๐ฐ๐๐ฒ๐ฑ
October 6, 2025
A former Tanzanian ambassador and outspoken government critic has been abducted by unknown individuals, his family says.
Humphrey Polepole's brother told the BBC the alleged abduction had occurred in the early hours of Monday, at his home in Dar es Salaam.
"We went to the house where he was living and found the door broken, electric wires cut, and a large amount of blood spilled," said Godfrey Polepole, the younger brother of the former ambassador.
Videos of the bloody incident have been shared online.
He said the family had reported the matter after visiting the residence. Dar es Salaam's police chief Jumanne Muliro has said they are following up on the reported incident.
The police boss appeared to question the reported attack, telling the BBC that the former ambassador to Cuba "often claimed to be out of the country".
"So how could this happen at his home in Tanzania?" he asked.
"In short, just as you're following this story, so am I also following on the incident because we also want to know what's really happening," he added.
National police spokesperson David Misime has issued a statement confirming that they had seen the reports online and were investigating.
Polepole resigned from his ambassadorial post earlier this year after publicly criticising the government.
He stated he could no longer be part of an administration that, in his view, disrespects justice, the rule of law, and constitutional principles.
He was later formally stripped of his diplomatic status after President Samia Suluhu Hassan revoked his appointment.
-- BBC