Sio kwa ubaya ila hizi tabia za kutotaka uzidiwe au ulingane wealth na mtu uliyemsaidia nyingi ni za watu waliokulia kwenye familia masikini..Wakishua hawana mitikasi iyo, masikini ndio wana roho mbaya hawapendani akipata anataka yeye tu ndo awe nazo asujudiwe aonekane hero.
Yani wabongo kuwa na partnership mkishindwana ni uadui na sio kila mtu kuendelea na mambo yake..ni kuvuana nguo hadharani,kila mtu kutangaza mapungufu ya mwenzake
Ukisikiliza interview ya HARMONIZE unagundua urafiki mwingi ugeuka uadui sababu ya watu wenu wapembeni.
Hii ipo hata kwenye maisha ya kawaida unaletewa maneno na mtu unaemuheshimu kumbe anakupa taarifa za uongo yani ukute Mondi na Harmo walikuwa na love ila wafitini ni wengi.
Konde ni yule Ex unaona kabisa ka move on ila bado anampenda bwana ake basi tu hawawezi kurudiana akikumbuka alivyotendwa ila anampenda na anakubali mchango wake kwenye maisha yake.
We are here to socialize Mpambazi,kuna watu wako lonely hawana hata wakuzungumza nao wanapoishi(humu ni kwao,ndo wanapata furaha yao)..Tukipata hela tusione ambao hawana ni wavivu,sio kila mtu yupo humu kutafuta hela.
Baada ya ujenzi wa barabara ya njia nne (4) kwenye eneno la Coco Beach, DSM huu ni Mwonekano wa juu wa eneno hilo la ufukwe baada ya kufanyiwa marekebisho.
#KitengeUpdates
Niliwaambia yule bwana atavuruga tu mambo ya katiba mpya halafu atatokomea hamkusikia.. Haya sasa yuko wapi? 😁
Huwa ana roho ya uharibifu ndivyo alivyozaliwa hivyo