@felcityy Atleast una moja wapo. Huwezi kuwa na vyote. Mimi sina hela ila nina nguvu za kiume mpaka sijui wapi pa kupeleka
Kama nguvu hizi zingekuwa pesa ningekuwa nina life zuri sanaaaa...
@mugishankoronko @Aluwatanii @kajiru@JMakamba@ummymwalimu@SuluhuSamia Hivi ni kiasi gani kununua figo ?
Hiyo million 30 ni pesa ya matibabu tuu hapo bado hela ya kumlipa donor ?
Naombeni ufafanuzi wadau. Kumbe afya ni gharama kiasi hiki. Naacha rasmi kunywa pombe kali Dah!!
@KivuyoLaurel Huo muda upo sasa ....ile ume kaa tuu umeme umekatika joto kama lote, tozo juu, mafuta juu, mchele juu, ada ya mtoto wa shule juu....mke anataka kusuka nywele ya elfu 30,....mzee mwenye nyumba kapandisha kodi....mara mchango wa vikoba hujapeleka....ehh....vingine ongeza wewe
@mafolebaraka Nakusikiliza hapa SNS, safi sana kaka uko vizuri. Soon nita kutafuta tubadilishane mawazo maana mwaka huu 2022 nataka kufanya kazi online tuu nimechoka na hizi kazi za manyanyaso toka kwa maboss.
Asante kwa kuamsha waliolala kuhusiana na fursa za kazi online
@ZdOr_Tozzo@BlackSingapore2 Nilijua ni mimi tuu kumbe na wengine ni vivyo hivyo. unashindwa hata kulalia tumbo koz inaumia ukilalia tumboπ uki amka asubuhi misuli inauma kwa mbali kumbe π usiku mzima ilikuwa ime chimama,mwanaume ana bongo 2 ya juu na ya chini kila 1 inafanya kazi kivyake bila kuingiliana