Shukrani kwa Wanachama na Mashabiki wa Young Africans SC kwa kujitokeza kwa wingi na kushangilia muda wote kwenye mchezo wetu wa jana dhidi ya mtani🖐🏼
Hakika mmepata burudani #TheClubAboveAll🔰
#TimuYaWananchi#DaimaMbeleNyumaMwiko
Yanga mercilessly crushes Simba, 5-1, outclassing a weak opponent today. The resounding triumph echoes Yanga's unrivaled supremacy, solidifying their reign as football royalty in Africa! 👑 #Mkono#KipigoKikali 👋
Mtani kuwa Mbele sio shida. TP Mazembe nayo pia ipo mbele yetu, timeipiga nje ndani msimu uliopita! This is a marathon not a sprint. Tuitazame Al Ahly sio timu ndogo ndogo zenye mafaniko ya msimu.
Yanga imeshika nafasi ya 18 katika orodha ya miaka mitano ya CAF, tusisahau kuwa katka orodha hiyo,msimu uliopita Yanga ipo top 3 Africa.
1. Al Ahly - pointi 6
2. Wydad AC, USM Alger - pointi 5
3. Young Africans, Espérance de Tunis, Mamelodi Sundowns - pointi 4
#DaimaMbele
Leo ni miaka mitatu tangu kufariki kwa Mheshimiwa Benjamin William Mkapa, Rais wa Awamu ya Tatu. Leo nimemkumbuka kwa nukuu yake hii:
"Ndoto si pato" - Hayati Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa.
wamegawana na mchezaji wa Simba ambao walifungana magoli. Club ya Yanga imekuwa na msimu mzuri msimu huu baada kuweza kunyakua mataji matatu na kuingia final ya kombe la shirikisho Africa.
"Yanga, with a logo featuring a torch and Africa map, you were made to inspire hope and joy across the continent. Today, you will do just that in the CAF Confederation Cup final. Go Yanga! Go Africa! #Yanga#CAFCCFinal#InspireHope#Joy"
"Yanga and Manchester City are on the path to a treble, dominating their domestic leagues and pursuing continental glory. An intercontinental community shield between these titans of football would be a spectacle for the ages! #Yanga#ManCity#Football"
#BreakingNews Yanga Bingwa wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2022/23.
Huu ni ubingwa wake wa 29 tangu kuanzishwa kwake na ni baada ya ushindi wa leo 4-2 dhidi ya Dodoma Jiji na kufikisha pointi 74 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote.
FT: Yanga 4-2 Dodoma Jiji.
Neno moja kwa Wananchi…
#AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPLUpdates #NBCPL #SisiNiSoka #SokaLetuBambam #YangaSC #DodomaJijiFC #YangaDodomaJiji