Petter Botha.
Alikua ni mwandishi wa kikaburu kule Afrika ya kusini miaka ya 1950s aliwahi kusema hivi "Mtu mweusi ni ishara ya umaskini na roho mbaya, ni kiumbe chembe mipango isiyozidi mwaka mmoja, mtu mweusi anapenda muziki na wanawake"
Wakina Nyerere, Nkuruma, Mugabe, keneth
@Jaguar_455 Uyu jamaa alikua kanyooka sana, kitendo cha kuzuiya bidhaa kutoka Afeica kusini na malawi zisingine kama wao walivyo tufanya basi mabosi wake wakamwona hafai.