Nilipewa heshima ya kuhutubia Mkutano wa Kampeni wa Maalim @SeifSharifHamad uliofanyika Jimbo la Shaurimoyo leo. Ujumbe wangu: Hussein Mwinyi hana ujasiri wala ushupavu wa uongozi kuweza kusimamia maslahi ya #Zanzibar; mtu pekee aliyejipambanua kwa hilo ni Maalim @SeifSharifHamad
Tuna wajibu wa kuirejesha nchi katika misingi yake. Shiriki sasa kwa kuchangia fedha katika namba zifuatazo.
Tigo Pesa 0713957977 Jina ACT Wazalendo Finance
Mpesa 0744959112 Jina ACT Finance
NMB
A/C Number 22610026136
A/C Name ACT Wazalendo Uchaguzi.
@zittokabwe
Kesho ndiyo ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu ambapo Chaguo la Wazanzibari, Maalim @SeifSharifHamad atazindua Kampeni za @ACTwazalendo kwa upande wa #Zanzibar katika Uwanja wa Kibanda Maiti, Unguja kuanzia saa 3:00 asubuhi. Huyu ni Made in Zanzibar, siyo Made in Dodoma!
Thank you so much Ahmed for this. It is very important and please continue to protect the old man, our treasure. Rollinโ with the Rona by @asalim86 https://t.co/M0LsvsaNTz
Katibu wa Chama wa Idara ya Mambo ya Nje na Mahusiano ya Kimataifa, Ndugu @ferej_fatma anakuomba uchukue hatua kwa kuungana nasi @ACTwazalendo katika Mapambano dhidi ya #Corona hapa nchini. #ACTDhidiYaCorona