@MariaSTsehai Huyu aliyepotosha historia na kuleta haya majina feki eti Tanzania bara sijui visiwani huyu Alaaniwe huko aliko, coz matatizo mengi tuliyo nayo msingi wake ni huu upotoshaji
‼️🚨SERIKALI HARAMU TANZANIA WAMEKUBALI MASHARTI YA COMMONWEALTH ‼️
Jamani mapichapicha yasiwadanganye 🤣 wala maneno ya kidiplomasia! Someni tamko rasmi! Tumebana kila kona 🔥👊🏽
Kabudi amekuwa mpoleee! Wamekubali timu ya Commonwealth iingie nchini na kufanya uchunguzi ikiwa ni pamoja na kukutana na wadau wote! Angalieni maamuzi ya Dec 2025 mkutano wa mawaziri ilihusu Tanzania na waliweka maazimio mazito hadi kumteua mjumbe maalum Mutharika - ingawa tumemweka kwenye mabano 😅
Sasa jana wameenda kusema “sawa basi njooni” 👊🏽 So tujiandae kuwaonyesha na kuwaeleza @commonwealthsec ukweli wote
Kumbukeni Bi Kizimkazi alimpiga stop Mutharika na msafara wake kuingia nchini na kuchunguza mauaji halaiki wakidai wameanzisha LITUME lao! Sasa wameambiwa wakubali kwanza au watimuliwe Commonwealth 😁. Walivyo wajinga wakajua wataficha ushahidi na mashahidi ila sasa wamefinywaaa 🤣imebidi waachie!
Huu ni ushindi kwetu sasa tuendelee kuibana Commonwealth na @SGCommonwealth wakutane na wahanga wa kweli si wa maCCM wauaji! Pia wakutane na vyama vyote watakavyo lakini CHADEMA isikosekane na Tundu Lissu atembelewe
Nje ya hapo hakuna cha maana!
Thank you @SGCommonwealth for the continued engagement on Tanzania and our hope is that the visit will be truly impartial without govt MINDERS and you will meet all stakeholders including @ChademaTZ2 and ensure the safety of those who will meet you. This is to make you understand that despite their suits and formal ties or maxi dresses, the CCM cabal led by @SuluhuSamia are VICIOUS and BRUTAL! There is not an ounce of kindness or politeness - it is a façade! They even emgage in transnational abductions to silence us!
Kindly keep that in mind and stand with the PEOPLE of Tanzania and not the murderous illegitimate govt!
#TanzaniaMassacre #SamiaMustGo
Wapendwa kuna michango imetangazwa kwa ajili ya watanganyika wenzetu waliopata changamoto
👉🏽Kuna huyu mtoto anahitaji kupandikizwa mfupa - check video kwa @Rachel17D huko Instagram - michango iende kwa 0687690410 Samwel Lagwen
👉🏽 ndugu yetu Nicodemus Loyore alitekwa na kushikiliww na kuteswa amepoteza ajira yake na anatakiwa kusafiri kila mara kutoka Arusha hadi Dar kuripoti! Unaweza kumchangia kwa namba 0791262588 check post kwa Nuru Vazi huko Instagram
Tuendelee kusaidiana ktk nyakati hii ngumu! 💪🏽
Umoja ni nguvu 🔥
Soon mabadiliko makubwa dunia nzima na #Tanzania hususan Tanganyika tutaandika historia yeru ulimwengu!
Huu si kuda wa kurudi nyuma
#Tumeshinda - tunasubiri Ushindi utangazwe!
#TutaelewanaTu
Mwezi huu ni mwezi muhimu SANA!
#ICC Deputy Prosecutor Mame Mandiaye Niang in #Duterte confirmation hearing: This hearing marks an important day for the victims of mass crimes and atrocities perpetrated in Philippines, and for the people of the Philippines.
Mfanyabiashara wa Arusha ni vile familia yake inamstiri marehemu ila marehemu amekutwa na majeraha zaidi ya hayo ya macho, kuvunjwa mkono na kuumizwa kichwani.
Mnaambiwa sehemu za siri hazitamaniki. mapumbu hayatamaniki, yani wamemfanyia ukatili mkubwa mno.
Na sababu ya kumuua ni moja tu, yule jamaa alihisiwa kuwa alichochea vijana wa Arusha kufanya maandamano sababu jamaa alikuwa close sana na vijana wa Arusha. . Na alishakamatwa na kupewa kesi ya uhaini ila ikafutwa ndo wakaona kwa vile kesi mahakamani watashindwa ndio wakaona wamuue. Na jamaa alishatonywa siku chache na hapo hapo Polisi wa hapo central kabla kuwa kina Mahita wanamuwinda so siku 3 kabla ya kifo chake alienda polisi kuripoti akawaambia nasikia natafutwa vipi kuna shida gani? wakamwambia wala sisi hatukutafuti we nenda zako. 3 days later wakamuua .
Achaneni na hao machawa wanaosema sijui jamaa alikuwa jambazi, sijui nini, kifo chake hakihusiani hata kidogo na maisha yake aliyoishi, kama kweli alikuwa jambazi.
Kwa Watanzania ambao hamjui, watu wengi wanaohisiwa walichochea yale maandamano wanauawa kimya kimya. Yani kuna msako mkubwa unafanywa na polisi na usalama wa taifa wa kuua yoyote wanaehisi alichochea maandamano yale au wakihisi sasa hivi anachochea mapambano dhidi ya CCM, especially wale wenye vihela hela wanaohisiwa wanaweza kufadhili mapambano.
Na hawafanyi hata uchunguzi, wakipelekewa umbea tu kuwa huyu anahusika basi wanakuua.
Ushauri wangu kwa Watanzania kwa kipindi hiki. Tafadhali usikubali kuwa peke yako sehemu yoyote ile. Hakikisha uko na mtu. Usidhubutu kutembea peke yako. Yani hata kama unaenda gym, beba hata houseboy na watchman wako nenda nao gym. Especially kama unajijua unaweza kuwa target. Na usijidanganye eti maeneo flani ni salama. Hakuna eneo salama kwa sasa Tanzania. Huyu Banjoo katekwa kwa mkuu wa Wilaya, opposite na Bot ulinzi kama woote, camera kama zote. It’s not safe anywhere in Tanzania.
On the margins of the #AUSummit in Addis Ababa, #ICC Deputy Prosecutor Mame Mandiaye Niang met with H.E Mahmoud Thabit Kombo, Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation of #Tanzania.
Samia na wauwaji wenzake, wanatamani sana dunia isiongelee mauwaji ya Oktoba 29 Ila dunia imegoma. Huwezi kuua watu zaidi ya elfu 10 alafu eti maisha yaendeleee bila accountability. Never…..
Thank you @TheEconomist kuendelea kuionyesha dunia.
@meta is this the person you insist on protecting from criticism by giving in to her demands to deplatform U.S based activists? Make this right.
Watanzania nina habari njema, kimama @SuluhuSamia analo, Wyoming utakuwa mkoa wa kwanza Marekani kuruhusu wananchi wake ku-sue serikali za nje ambazo zitakuwa zinaingilia uhuru wao wa kuongea kwa kuzitaka kampuni kama Meta kufuta account au kushusha posti za watu.
Marekani imeanza kustuka kuwa nchi za nje zinaingilia uhuru wa kuongea wa watu wake kupitia kampuni za Kimarekani.
Wyoming wameanza na soon bunge la Marekani nalo litapokea maana sasa imekuwa kero.
Yani ni hivi very soon, TCRA wakituma request meta kuwa mfungieni Mange Kimambi au shusheni posti yake hii basi hapo hapo Mange Kimambi nitakuwa na haki ya kuifungulia kesi ya madai serikali ya Tanzania kwenye mahakama za Marekani. Nam-serve yule kipara wenu pale embassy, New York then tunakutana mahakama mnilipe mamilioni ya dola. Then nikishinda kesi navizia ile Airbus ikiwa nchi ambayo itakubali ku exercise order ya Mahakama ya Marekani then natembea na ndege lenu. Au kama serikali ya Tabzania ina asset nchi ya nje , naenda kubeba kule. Au kama Serikali Tanzania imefanya biashara sehemu flani ile pesa nalipwa mimi.
Nilikuwa nawaza sana Marekani inakubalije nchi za kipuuzi zinazoongozwa na wapuuzi zinapata uwezo wa kuamrisha kampuni za Kimarekani kuondoa watu wanaoishi Marekani kwenye mitandao ya kijamii na kuingilia uhuru wao wa kuongea eti sababu alichoongea kinavunja sheria za Tanzania. Mimi sheria za Tanzania zinanihusu vipi?
Na hii kesi yangu ndio kabisa imeonyesha kuwa hili ni tatizo.
Good job Wyoming , sasa mikoa yoote na Kisha federal ipitishe hii sheria haraka sana watu tupate mahela ya wauwaji.
Kwanza hapa nasali kuwa sheria hii ikipitishwa kitaifa au kwenye mikoa mingine waweke provision ya kuturuhusu sisi ambao tulishakuwa affect kabla ya sheria kuwekwa ku-sue.
Yule attorney general wao ambae hana hata law degree sidhani kama hata ataelewa sheria hii,
Jamani hii posti mtumieni Waziri mkuu Batili na bosi wake, waambieni hakuna tena kufunga account za Mange labda kama wanahamu ya kunitunza bombadier za Magufuli.
https://t.co/bpvFgdAEhW
Ripoti hii ya #BBCAfricaEye itaruka pia kwa Lugha ya kiswahili na lugha zingine 10 kubwa duniani.
Inatoka siku ya JUMATATU-kwa mara ya kwanza leo ndio naona JUMATATU mbali wanangu.
REPOST 200
#TUTAKUWEPO🫵😎
This is what happened in #Tanzania October 2025
Human hunting with snipers on rooftop and car tops taking out young men in the streets
Later at night they slaughtered even more en masse in their homes!
Leo tuwakumbuke vijana hawa ambao walikumbana na wauaji ma sniper wakiwatungua kwa risasi za vichwa kikatili!
Hii video sitakaa niisahau maishani kamwe! Na tutakuja kuiandika na kuandikia filamu ili dunia ijue na ISISAHAU mauaji haya halaiki! Hakuna kupoa hadi muuaji atoke!
#SamiaMustGo #TanzaniaMassacre
Tangu mauaji ya tarehe 29/10 Nchi yetu haiwezi kuwa the same.
Dunia haitanyamaza mpaka haki itakopotendeka, Asante @dw_kiswahili@dwnews kwa kuweka rekodi sawa na kuwatendea Watanzania haki.
Utawala huu dhalimu umteka madaraka kwa kumwaga damu za watu wasio na hatia..
Dunia ya sasa sio rahisi kuficha maovu,sio rahisi kunyamazisha ukweli..
Unawezaje kwenda kuua watu kwenye banda la mpira? Kwa pamoja unaua watu wengi kiasi hicho na bado unasimama kutetea unyama huu!!!
Tutanataka hao waliotenda huu unyama wawajibike.
KESI YA UHAINI DHIDI YA Mhe LISSU KUENDELEA;
Chadema inawafahamisha kwamba kesi ya uhaini dhidi ya Mhe Lissu, Criminal session case No. 19605/2025 imepangwa kuendelea Mahakama kuu, Kanda ya Dar Es Salaam kuanzia tarehe 09 February 2026 hadi tarehe 06 March 2026.
Ikumbukwe kwamba kesi hiyo inasikilizwa na Majaji watatu, Mhe Jaji D. Ndunguru, Mhe Jaji J. Karayemaha na Mhe Jaji Kiwonde.
Tayari Mhe Lissu jana alipokea taarifa rasmi kutoka kwa Naibu Msajili wa Mahakama kuu.
Tukutane Mahakamani.
KESI YA UHAINI DHIDI YA Mhe LISSU KUENDELEA;
Nawafahamisha kwamba kesi ya uhaini dhidi ya Mhe Lissu, Criminal session case No. 19605/2025 imepangwa kuendelea Mahakama kuu, Kanda ya Dar Es Salaam kuanzia tarehe 09 February 2026 hadi tarehe 06 March 2026.
Ikumbukwe kwamba kesi hiyo inasikilizwa na Majaji watatu, Mhe Jaji D. Ndunguru, Mhe Jaji J. Karayemaha na Mhe Jaji Kiwonde.
Tayari Mhe Lissu jana alipokea taarifa rasmi kutoka kwa Naibu Msajili wa Mahakama kuu.
Tukutane Mahakamani.
Gaston Galubindi @ShundoGaston
Mkurungenzi wa Sheria CHADEMA Taifa,
REPOST 200
TUTAKUWEPO🫵🏾😎