@HKigwangalla Broo bado hamjatoa majina kuita kwenye interview za NGORONGORO ad leo miez 4 imepita, ya Tanapa nmlistisha kwann msijarbu kutafuta njia mbadala ya interview kulingsna hii hali ya ugojwa wa corona.
@Nnauye_Nape@Ablord6 Lakin kwann Mh humzarau ivyo mwananchi wako aliyekupigia kula na anamchango mkubwa katka maisha yako saiv unatembelea V8,why why lakin mkuu?