@nikkwapili@rchboy9@HecheJohn leo umejibu haraharaka kwakuwa alo tweet ni mpinzani, yn umepoteza muelekeo wa ubongo kiasi kila unachowaza unahic ni usahihi
@OmaryIdrisa6@MatwegoN@HecheJohn halafu kaka angu kumbe una jina zuri hivyo! eb usidhalishe hilo jina
maana muanzilishi hakuwa mwenye kutetea udhalim na km angekuwepo na kuona text yko hii angeshaondoka na kichwa chako
@muba_kanyama@HecheJohn wewe nadhani ukuelewa, huyu ndo alikuwa mwenye kiti wa tume ya uchaguzi Zanzibar yn kiufupi akichifanya hapo ni kwamba yete refaree akaamua kuacha firimbi halafu akavaa jezi ya team moja akaingia uwanjani, hii inaleta zana ya kuwa nda wote huo wakati anachezesha alikuwaanapendlea
@Mufandish@Khan16426601@shaffihdauda1 mzee unajua ni pesa kiasu gani inatakiwa jujenga huo uwanja eb achen siasa miradi ya msaada mnataka kuleta propaganda
@ClubMagufuli@ChangeTanzania mzee kwenye taifa la watu 57M unawezaje kuamin kuwa hkuna bora ya raisi wetu wa sasa mzee kuna watu tunaishi nao wako sawa tokea anakulia na ujue vizazi vya sasa vya technokoy nso vizaz vya mapinduz ya uchum wa nchi mzee usiongee ushabik kk me mwnyew siwez kataa rais wng lkn cwe
@ClubMagufuli @MakuruRobert @ngurumo@HecheJohn yap kwa state mrad wowote ni lzm uzingatie social & economical factor, yn lzm uwaguse wananchi na ilete faida kwa mda sahihi ikimaanisha satisfaction & utilization hii kwetu iko kwa level ip
@ClubMagufuli @MakuruRobert @ngurumo@HecheJohn kwa state kupew mikopo ni rahic xn hasa kwa nchi yenye rasilimali km Tz ni ishu ya securities itayotumika & kwa kutumia mkopo unawez jenga vitu ving ila kisanga wakat wa kulip