Hiyo familia wakishafika form four tu! Vurugu zinaanza hapo kona nyingi nyingi! Zinaanza elimu za hapa na pale
Wanaugomvi mkubwa sana na kufaulu 😂😂😂
Wakae chini wamalize tofauti zao na mambo ya kufaulu 😂😂
Nb: picha haihusiani na ujumbe, hawa walifaulu
Nimetoka Ukonga kumuona Mwenyekiti, Yuko imara na anawasalimia wote.
Anatoa pole kwa Watanzania wote waliopoteza maisha, familia ndugu na marafiki.
Anatambua watu waliopoteza viungo na kubaki na ulemavu.
Ametoa pole kwa wote waliopoteza mali pia.
Damu ya wenzetu haijamwagika bure na hakuna atakaefunika jambo hili bila uwajibikaji.
Msimamo wa Mwenyekiti uko thabiti, Yuko imara na mwenye afya njema.
IWE KIFUNGO AU KIFO.
1.Msimamo wangu kuhusu Muungano uko Bayana. Tuwe na Serikali Moja au la Tuwe na Serikali Tatu.Hatuwezi kuwa na Muungano ambao Taifa moja linabaki na mambo yake yote halafu mambo yote ya Taifa lingine yanageuzwa kuwa ndiyo mambo ya Muungano .Kama hatuwezi kuwa na Serikali Moja kama ilivyokuwa kusudio la awali la waasisi wa Muungano lazima tuwe na serikali tatu.Tanganyika,Zanzibar na Mungano.Tuache hoja za kipropaganda kwenye mambo serious.
2.Msimao wangu kwamba kila raia ana haki ya kuwa na maoni huru na kuwa na mtazamo huru au kushawishi mtizamo wake ukubalike na kwamba kufanya hivyo siyo Uhalifu wala uhaini.Kufanya Maandamano,Midahalo au Maongezi kuhusu hali fulani ya kiutawala,demokrasia,sheria au uwajibikaji siyo uhalifu na watu wote wanao kamatwa na kushtakiwa kwa makosa makubwa wana haki ya kuwakilishwa na wakili mwenye uzoefu na Wakili kuwawakilisha watu wa namna hii anakuwa hajafanya kosa lolote.
3.Uchaguzi wa Tarehe 29 Oktoba hauna sifa ya kuwa uchaguzi huru na Wazi na haukukidhi vigezo vya kuitwa Uchaguzi huru na Haki.Rejea Ripoti za wasimamizi wa Uchaguzi SADC,AU na wengine.Ukitawaliwa na vificho,mauwaji,kuwekwa kizuizini kwa chama kikuu cha Upinzani na kuzuiwa kushiriki uchaguzi, uchaguzi kufanyika gizani na Kukosekana kwa Tume Huru ya Uchaguzi.
4.Namna ya Kutoka hapa tulipo ni kuhakikisha kusitishwa mara moja kwa ukamataji hovyo wa vijana na kuwabambikia kesi,Kufutwa kwa kesi zote za uwongo dhidi ya chama kikuu cha Upinzani na uwepo wa Tume huru ya Kiuchunguzi ya Kimataifa ambayo Ichunguze Mauwaji na upotezwaji wa watu kuanzia kabla,wakati na baada ya Uchaguzi na iangazie uhalisia wa Takwimu za uchaguzi na matokeo yake. Na ndiyo ije na mapendekezo ya hatua za kuchukua.
5. SERIKALI itoke hadharani Ikiri kwamba yenyewe ndiyo chanzo cha kusababisha Vijana waandamane kwa ujeuri wa viongozi wake na kutopenda kusikiliza ushauri na kwamba vijana wale hawakuwa na njia nyingine ya kueleza hisia zao kwani Mahakama ilikwisha onekana kutokuwa sehemu sahihi kitoka na aina ya utitiri wa Maamuzi hususan kupotzwa kwa watu na Bunge lilikataa kata kata kujadili matatizo ya wananchi na kujigeuza kikaragosi cha serikali na hawakuwa na njia nyingine isipokuwa hiyo na kuwa kwa Makusudi au Uzembe iliruhusu vyombo vyake vya ulinzi kutumia sila za moto dhidi ya waandamanaji na wasio waandamanaji na kuuwa wananchi hata wale ambao hawakuwepo kabisa katika maandamano ikiwemo watoti wadogo na akina mama walioshambuliwa katika nyumba zao.
6.Wahanga wote na Familia zilizoathirika serikali iwajibike kuonesha wapi waliko waliotekwa na kupotezwa na pia ioneshe miili ya wale wote waliouwawa katika sakata la Oktoba 29 na kuhakikisha kuwa wale waliohusika kutekekeza mauaji haya wote wanachukuliwa hatua za kisheria.
7. Msimamo wangu kuhusu sakata linalohusiana na uchaguzi ni kwamba Taifa linahitaji UKWELI,HAKI NA UWAJIBIKAJI.Baada ya hapo ndipo tuone namna bora ya kuwa na uongozi jumuishi unaowasilisha ridhaa ya wananchi kwani hawa waliopo sasa japo dejure ni viongozi de facto wanakosa uhalali wa Kijamii kupitia mazingira ya namna zoezi la uchaguzi lilivyo endeshwa.
8.Kwamba Maandamano ya Gen.Z kupinga dhuluma za kidemokrasia siyo uhalifu ...bali ni matokeo ya ukaidi na kutopenda mashauriano kwa baadhi ya viongozi wajuu wa serikali jambo linalopelekea vijana kukata tamaa na kukosa matumaini. Tusipo jifunza kutatua mambo yetu kwa kuzungumza asili itatufunza kutatatua mambo hayo hayo kwa kupigana.
TUSIWINDWE ILI KUUWAWA AU KUBAMBIKWA KESI KWASABABU YA MISIMAMO YETU ..HOJA HAZIPIGWI RUNGU.
LHRC staffs were attacked last night while working at Whitesands Hotel. The entire hotel was under siege, and our team was the sole target. Laptops and phones were seized. They’ve been summoned this morning regarding their devices we remain deeply concerned. #HumanRights #SecurityAlert
Leo saa 12 Jioni.Nimepokea taarifa ya Wakili Msomi Mwandamizi Mpale Kaba Mpoki amepigiwa simu na OCCID wa Wilaya ya Kipolisi Kawe Makao Makuu Mbweni Kuwa anahitajika kwenda,
MKM ni Senior citizen tutamlinda kwa wivu mkubwa sana! Toka enzi za Mtikila bado tuko naye! @MpaleMpoki
Sisi @TanganyikaLaw na @humanrightstz Tumejipanga kuhakikisha hakuna mtuhumiwa wa hizi kesi za kubumba atakosa uwakilishi Tanzania nzima.
Ukitaka kuona tuna taifa la namna gani? Wale wauaji hakuna hata mmoja aliyekamatwa wala kuhojiwa! “Impunity”
Hizi mambo zina mwisho tu!
YESU aliingia Yerusalemu kwa Maandamano huku wananchi wakimshangilia na kuimba Hosana ajaye kwa jina la Bwana. Mafarisayo walikwazwa sana na ile Nyomi🤣( Kwasababu ya wivu na uovu wao) lakini Mungu wala hakukwazwa.
Ila Biblia yangu inanionesha Mungu alikwazwa na Kaini kumwaga Damu ya nduguye Abeli .Uuwaji ndiyo unaoondoa utukufu wa Mungu wa Mbinguni siyo maandamano.
Hata Yeriko Iliangushwa kwa Maandamano watu walizunguka mara saba.
TAARIFA YA HIVI PUNDE
Nimepokea taarifa ya kukamatwa kwa Kahumbi wa kamati kuu ya CHADEMA ambao ni Mhe. Godbless Lema na Mhe Boniface Jacob leo tarehe 8/11/2025 .
Wakati Mhe. Lema amekamatwa maeneo ya Usa River Arusha, Mhe Boniface Jacob amekamatwa nyumbani kwake Dar Es Salaam.
Hadi kufika muda huu, viongozi wetu 3 wa Chama wamekamatwa na Polisi.
Mawakili waliopo Arusha na Dar Es Salaam wako Polisi kufuatilia hatima ya viongozi wetu.
@BrendaRupia@hrw@humanrightstz@Liberatus80
Namna Nzuri ya kudhibiti dhuluma nikupitia sheria .Na ili kujenga hoja za kisheria lazima uwe na fact.Tunawaomba wananchi kwa nia njema na kwa ukweli bila hila au uonevu.Tupeni Taarifa zitakazosaidia taasisi yetu kushauri hatua muafaka za Kisheria.
Today, 7th November 2025, we, the undersigned Civil Society Organizations (CSOs), strongly condemn widespread human rights violations that occurred before, during, and after Tanzania’s 2025 General Elections.
These include killings of civilians, unlawful arrests, abductions, enforced disappearances, suppression of media freedoms, an internet shutdown, and denial of due process rights.
There are verified reports of excessive use of force against unarmed demonstrators, including reprisal killings of civilians, some in their own homes. Families have been left traumatized, and children have witnessed violence against their parents.
Journalists were not spared: Master Tindwa (Clouds Media) was killed at his home in Temeke, Kelvin Lameck Mwakangondya (Baraka FM, Mbeya) was killed while on duty, A journalist from Azam Media was seriously injured, and two others, Godfrey Thomas (Ayo TV) and Alphonce Kusaga (Sunrise Radio), were arrested in Arusha. A religious leader, Sheikh Msopa, was shot dead at his home in Dar es Salaam.
We also note reports of mass arrests and detentions of hundreds of civilians, particularly youth, across several regions, many still held without bail or court appearance. For six consecutive days since 29th October, the nationwide internet shutdown restricted access to information, monitoring of elections, and exposure of rights violations, in direct breach of Article 18 of the Constitution and international obligations.
We stand in solidarity with all victims and urge the Government to:
1️⃣ Release all detainees or bring them before the court.
2️⃣ Allow families to bury their loved ones.
3️⃣ Permit independent investigations into the killings.
4️⃣ Prosecute those responsible.
5️⃣ Uphold freedom of expression and the media.
6️⃣ Work toward reconciliation and national healing.
7️⃣ Compensate affected families.
Signed by: LHRC, Twaweza, Foundation for Civil Society, JamiiAfrica, Msichana Initiative, Centre for Strategic Litigation, and Internet Governance Tanzania Working Group.
📄 Full statement attached.
Naibu Katibu Mkuu Bara, Aman Sam Golugwa amekamatwa na Polisi asubuhi ya leo November 8, 2025 jijini Arusha.
Tumejulishwa kuwa anashikiliwa kituo cha Polisi Kati, Arusha.
Mawakili wamekwenda kumpatia huduma ya kisheria wakati tunajianda kuchukua hatua zaidi kwa mujibu wa sheria.
@ChademaTZ2@humanrightstz@hrw@HildaNewton21@MariaSTsehai@TitoMagoti@Liberatus80@AmnestyKenya
Mwili wa aliyekuwa mwanachama wetu, Wakili Peter E. Makundi umezikwa mnamo tarehe 5 Novemba 2025 katika mazishi yaliyofanyika mkoani Morogoro. Ndugu Makundi alipigwa risasi Oktoba 29, 2025 akitoka kwenye shughuli zake. TLS inatoa pole kwa ndugu na familia ya marehemu
MAMBO NI MENGI MUDA MCHACHE
Without prejudice Nimeiona hati ya Mashtaka ya Uhaini .Ni mashtaka ya Uonevu na yasiyo Haki. TLS itaratibu na Kuhakikisha kila anaye shtakiwa anapata Utetezi Kamilifu kisheria.
Ni aibu waliotakiwa kushtakiwa eti leo ndiyo wanawafungulia wahanga mashtaka such a mockery of justice.
Pia Tunatafakari kwamba hatua hii ni kama Retaliation ambapo Serikali badala ya kuwa tayari kuwajibika kwa Makosa na Mauwaji waliyosababisha wanajaribu kutumia Njia za Vitisho kukwepa uwajibikaji.
TLS tutatekeleza kila Kilicho ndani ya Uwezo wetu kuhakikisha kuwa Haki inatendeka na katika hatua hii ya awali tunaona kuwa mashtaka haya siyo ya haki
Msimamo wetu ni kwamba
1.Uwepo uchunguzi huru wa Kimataifa.
2.Kwamba kwa sasa mkazo uwe kwenye Haki,Ukweli na Uwajibikaji
Ni rai yetu kwamba wale wote walioshiriki dhuluma ya Maisha ya Watanzania wa upande wa Tanganyika wanachukuliwa hatua kwenye Mahakama zenye ueledi na uwezo wa kutenda Haki kulingana na mazingira ya Uhalifu uliofanyika.
BAK MWABUKUSI
PRESIDENT TLS.
Who should stop this nonsense and Impunity?
Sijui Jeshi la Polisi wanatuelewa tunapowashauri? Je ni Mungu anazidi kuufanya moyo wa jeshi hili kuwa Mgumu?
kuna safari ya Maangamizi ya Taifa ambayo Jeshi hili linataka kutupeleka kwa kasi ya 5G wenye hekima Katika Taifa ....Waumeni sikio hawa watu.
Jeshi hili linafanya siasa kwa kutumia risasi linafanya kazi kubwa ya kuharibu Haki,Umoja na Utawala Bora.
Siku hizi kuwa CHADEMA ni uhaini? kukohoa karibu na Jengo la Polisi ni Uhaini ?hata kupinga na kukosoa serikali ni Uhaini?
Nani amewaloga hawa watu? Hivi Wastaafu wooote wenye Hekima walishakufa? Tumebaki masela watupu ndani ya Taifa hili ?
CHADEMA ndiyo chama pekee cha kweli cha Upinzani kukubali CHADEMA KUSHAMBULIWA NAMNA HII ni KUKUBALI KUBAKA NA KUNAJISI SIASA YETU YA VYAMA VINGI.
IAM ASHAMED FOR THE 3rd Time.
BAK MWABUKUSI.
Mtu alikuwa ameshikiliwa na vyombo vya dola kipindi chote na wanataka kumshitaki kwa Ugaidi akiwa kwenye mikono yao!
Kaka yangu @HecheJohn angekuwa uraia si angepigwa risasi kabisa na hawa washenzi,
Mwisho unakaribia kwa hizi mbinu za samia na watu wake, wanajipeleka kaburini
Mtaani Gengeni wakati vitu vyote vimepanda bei mara mchele sijui 5k kwa kg, huyu Mama hakupandisha hata bei watu wananua mchele kwa bei ile ile 2500
Nikamchokoza mbona wewe hupandishi akasema kwanini nifanye hivyo, watu wapo kwenye shida wewe unapandisha bei Mungu hapendi 🙌🏿 Huyu nitanunua sana vitu kwake 🚶🏻♀️