Maofisa wawili wa Jeshi la Uganda (UPDF) wamejitokeza kuzungumza walipo, na mateso wanayopitia, raia wanaotekwa na kuwekwa kizuizini na CDF ambaye ni mtoto wa dikteta Museven.
Wamesambaza video za wahanga.
Tunasubiri kwa hamu siku kama hii nchini Tanzania.
Mungu ibariki TZ!
@umwalimu Wanao zika watakapo anza kuzikwa wanao dangaya watakuwa hawapo.Tuna umiza watu kwa ajili ya nani?nawezaje kunyonya damu ya mtu mpaka kufa ili kuokoa maisha ya mtu?Nani ana stahili kuishi na nani ana stahili kufa?Thamani ya UHAI aina bei. Karma will give you the best..