Mpaka sasa tumekusanya TSh. Milioni 283.1, na sasa tumebakiza TSh. Milioni 50.9 pekee kufikia lengo la TSh. Milioni 334 kwa ajili ya Baraza Kuu la Umma.
CHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB
Bank Namba: 22606600140
Jina: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
As CHADEMA, we view the resumption of Hon. Tundu Lissu’s trial as a critical moment first and fur-most for his personal freedom and rights, but also as a reflection of Tanzania’s commitment to democracy, the rule of law, and respect for political freedoms.
Our position remains that this case is political in nature and has been used as a tool to suppress legitimate political opposition and weaken democratic participation. As the hearings resume, we will be closely observing whether the process moves towards justice and a political resolution, or whether it continues to be used as a mechanism to prolong his detention and limit CHADEMA’s ability to operate effectively.
This comes at a time when the Tanzanian government has received clear concerns and calls from the international community, including the Commonwealth, urging a lawful and political pathway towards resolving this matter within the stipulated timeframe. The world is watching how Tanzania handles this case and whether it chooses a path that strengthens democracy and reconciliation or one that deepens political tensions.
Today, we will particularly be watching the conduct of the proceedings, the fairness of the process, and whether there are genuine indications of a commitment towards resolving this matter in the interest of justice and national unity.
Tayari Kesi ya UHAINI dhidi ya Mhe. Lissu imeshaanza ila tumepata tatizo la kiufundi, tunapambana kuweka mambo sawa, kama tutafanikiwa solve tatizo kwa wakati basi mpatapa LIVE updates kama kawa.
Tunaomba radhi kwa usumbufu wote uliojitokeza.
Kuna habari nimeipata ila kwa vile sina evidence ya 100% basi sitotaja majina directly ila issue iko hivi, JK has come up with a plan ya kuitawanya Chadema kama alivyofanya kwenye Urais wake kwa kuanzisha ACT Wazalendo na kimama kaanza kuitekeleza plan hii.
Abdul na mama yake kwa sasa wanafanya big financial investment kwa viongozi wa Chadema kupitia business mpya.
Nimeambiwa Kuna Bank inaitwa Bank M itatangaza kufilisika kisha watainunua wao kina Abdul kama taasisi ya pesa yenye leseni, watainunua kwa bei ndogo sana na kuiendesha kama Bank binafsi- yenye udhamini wa BoT.
Wanajipanga kufungua bank ya kifisadi ambayo itatumika kupitisha pesa zao za wizi endapo USA wanaweka sanctions kwenye mfumo wa fedha, inorder to by pass possible coming sanctions. Wanatengeneza hiyo shadow banking network and some viongozi wa Chadema wamepewa shares kwenye huu uharamia ili kusaliti wananchi……
Bank M iko chini ya mfilisi ila soon Bank M itakuwa activated with “foreign owners” na itakuwa foreign bank yenye wateja TZ. Hao “foreign owners” ndio mpaka some viongozi ndani ya Chadema wako. Kuna kiongozi mmoja ndani ya Chadema huyu mpaka katoa maelekezo kuwa hii bank iwe na HQ nchi flani.
Nimeambiwa Mbowe keshaanza kujenga majengo Dodoma ambayo atawakodishia hii bank.
Yani its a network made up of some viongozi wa Chadema wakishirikiana na wauwaji wa October 29. Yani CCM wamekubali kula na viongozi ndani ya Chadema ili mradi haki isipatikane Tanzania.
Naomba kila mtu asave hii posti coz kuna siku nitarudi ku refer to this post. Please save this post.
Huyu bro, Kazungu, ni kada wa CCM ambaye hakuwa anakubaliana na upuuzi wa mbogamboga. Wamemteka, wamemtesa na kumdhalilisha. Huu UPUMBAVU lazima ufikie mwisho. We need a new day in Tanganyika!!
Vitu ambavyo tunataka VICHUNGUZWE na tume ya KIMATAIFA.
1. Nani alizima mtandao kwa zaidi ya siku 5? Kwa maslahi ya nani?
2. Tamko la IGP WAMBURA kufungia watu ndani kwa kazi maalumu. Kazi hiyo maalumu ni ipi waliyofanya?
3. Wale Askari waliokuwa wanapiga RISASI ZA VICHWA WATU MTAANI nani aliwapa ruhusa ya kuuwa watu hovyo hovyo?
4. Watu waliokuwa wanatolewa mahospitali na kuenda KUZIKWA kwenye makaburi ya halaiki wamezikwa WAPI?
5. Kauli za “HAKUTAKUWA NA NYWI NYWI WALA NYWI NYWI” ilitoewa kwa msingi upi na dikteta JIKE?
Kinyume na hapo, ukweli utachelewa tuu ila UTAFAHAMIKA SIKU MOJA.
REPOST 500.
Mpaka sasa tumekusanya TSh. Milioni 279.8, na sasa tumebakiza TSh. Milioni 54.2 pekee kufikia lengo la TSh. Milioni 334 kwa ajili ya Baraza Kuu la Umma.
CHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba: 22606600140
Jina: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Hakuna kinachoweza kuhalalisha mauaji ya raia kwa risasi za moto. Hata mkitumia majaji au marafiki zenu kusafisha ukatili mliofanya, hamwezi kufuta ukweli uliopo katika vichwa vya watu kwamba mlipoteza maisha ya watu kinyama. Matumizi ya nguvu zilizopitiliza huacha makovu yasiyofutika katika jamii. Haki ya kuishi ni msingi wa utu na kabla ya kujaribu kujisafisha, lazima muwajibike kwanza. Nothing less, nothing more:
Tume inaenda kuchunguza "waliochochea" na "waliotoa Fedha watu kuandamana".
Jitu limeuwa watanzania kwa maelfu linajitafutia angle ya kubaki salama.
Nani alipiga RISASI ZA VICHWA watanzania?
Nani alizima mtandao siku 5?
Nani alipoteza maiti kwa maelfu za watanzania kwenye makaburi ya HARAIKI?
Haya ndiyo mambo ya KUCHUNGUZA.
Watu waliandamama kwasababu nyingi na sababu kuu zilikuwa ni KUPINGA UCHAGUZI HARAMU, KUKEMEA UTEKAJI NA UFISADI.
Hayo mambo mtu anahitaji kulipwa kuandamana?
Watu sio wajinga DIKTETA JIKE.
Je, Janja la Ford Foundation litatoa ushahidi kwenye Tume ya kumsafisha Samia? Kuna makosa mtu unafanya sababu ya njaa yanakuletea lifetime crisis. Na iwe fundisho!
Kikundi cha #ToneTone ambassadors kimechangia kufanikisha Baraza Kuu la Umma kiasi cha Tsh. 2,000,000.
Sasa tumebakiza Milioni 56.2 kufikisha milioni 334.
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba: 22606600140
Jina: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
MASHUJAA WA HAKI.
Kutoka chuo cha Mt Augustino Mwanza, ni wanafunzi wa sheria alievaa t-shirt yenye picha ya Lissu anaitwa Kilemile Rajabu alikaa ndani siku 29 kwa makosa ya uhaini na uchochezi na aliesimama pembeni anaitwa Maulidi khamis, huyu alihakikisha katika hizo siku 29 Rafiki yake anapata mahitaji yote ya msingi akiwa polisi hadi pale alipoachiwa huru.
Jana wamefanikiwa kumaliza mitihani yao ya mwisho ya sheria hapo chuoni Inshaallah hawa ni mawakili wa baadae
Kikundi cha #ToneTone ambassadors kimechangia kufanikisha Baraza Kuu la Umma kiasi cha Tsh. 2,000,000.
Sasa tumebakiza Milioni 56.2 kufikisha milioni 334.
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba: 22606600140
Jina: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Hi Watanzania, kwa sasa niko busy mnooo na jambo la msingi, very soon mtajua nilikuwa busy na kitu gani.
So kwa sasa I’m not focused kwa kudai haki huku kwenye social media, nipo busy napambana kiundani zaidi..:.:
Soon wote mtajua what was keeping me busy. And it will be great news to Tanzanians, GOD WILLING.
Mapokezi ya Mhe. @HecheJohn Sirari, Tarime.
CHANGIA BARAZA KUU LA UMMA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba: 22606600140
Jina: Chama cha Demokrasia na Maendeleo