NAMSHUKURU BONGO ZOZO KWA MAONI NA USHAURI WAKE MZURI WA KIZALENDO NA UPENDO NA MAARIFA. TUNGEMSIKILIZA TUNGEPIGA HATUA KATIKA MENGI IKIWEMO KUMUACHIA TUNDU LISSU ILI KULILETA TAIFA PAMOJA. WE NEED TO MOVE ON.
Rais wa wananchi
Common people LOVE Tundu Lissu because of his track record as a human rights lawyer and politician always fighting for justice for all
This kind of charisma is what many lack and envy but most importantly FEAR! Some were his colleagues but today plot his demise because of jealousy! However Tundu Lissu will prevail 👊🏽
Wakenya wanaita hii Aura 😅 yaani Lissu ana nyota balaa! Anapendwa ajabu! Sasa mijitu imekosa aura ina wivu ile mbaya na pia wanamwogopa wanajua wakisimamishwa side by side hata wakihonga hawawezi kushinda! Si tuliona January 2025?
Wivu kitu kibaya ila Mungu ndo anasimamia riziki ya mtu si binadamu!
#FreeTunduLissu
#FreeAllPoliticalPrisonersInTanzania
Produced by #Jasusi katika maadhimisho ya mwaka mmoja kamili tangu Mh #TunduLissu alipokamatwa kwa amri ya Samia. Ikikupendeza, washirikishe wimbo huu na wenzio.
MHE. TUNDU LISSU UMETIMIZA MWAKA MMOJA NDANI YA KUTA ZA GEREZA‼️
Leo Tarehe 09 Aprili 2026, ni Mwaka mmoja tangu alivyokamatwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe Tundu Lissu na kushitakiwa kesi kesi ya uhaini. Leo siyo siku ya ukimya bali ni siku ya kukataa hofu na kuikumbusha historia kwamba bado tunaishi.
Leo ninakukumbuka sana Mhe. Tundu Lissu sio kama mtu tu, bali kama alama ya mfumo unaojaribu kuumiza ukweli lakini unashindwa kuumaliza. Kuna wakati taifa linafika mahali ambapo haki inageuzwa kosa na kusema ukweli kunachukuliwa kama uasi. Lakini Neno la Mungu linasema: “Ole wao waitao mabaya mema, na mema mabaya.” (Isaya 5:20)
Leo ninasema kama Askofu Mwanamapinduzi hatutaogopa kusema ukweli, hatutanyamaza mbele ya dhuluma na hatutauza dhamiri zetu kwa bei ya woga. Kwa sababu imeandikwa:
“Mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru.” (Yohana 8:32).
Ndugu yangu Mhe. Lissu,
walijaribu kukunyamazisha kwa nguvu, lakini hawakujua kuwa kuna sauti haiwezi kufungwa. Walijaribu kueneza hofu, lakini hawakujua kuwa kuna watu wanaishi kwa imani, si kwa vitisho.
Kama haki itafungwa kwenye Taifa letu basi amani itakuwa hatarini. Kama ukweli utazimwa, basi kesho yetu itakuwa gizani. Na kwa wale wanaotumia mamlaka vibaya. Neno la Mungu linasema: “Kwa maana Bwana hupenda haki, wala hawaachi watauwa wake.” (Zaburi 37:28).
Kuwa na mamlaka sio kibali cha kunyanyasa watu, nguvu si ruhusa ya kukandamiza na uongozi si tiketi ya kuumiza watu. Kuna siku kila tendo litasimama mbele za Mungu. Na hakuna cheo kitakachoweza kukutetea.
Ndugu yangu Mhe. Lissu,
leo nakwambia usiogope, Usirudi nyuma na wala usinyamaze kwa sababu hata maandiko yanasema: “Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki, maana ufalme wa mbinguni ni wao.” (Mathayo 5:10)
Na sisi wananchi wazalendo tunaoipenda nchi yetu hatutasahau, hatutachoka na wala hatutanyamaza kwa sababu UHURU si zawadi, bali ni haki. Na haki haombwi, bali inasimamiwa.
Mimi, Askofu Mwanamapinduzi nasema kwa ujasiri kwamba tutapita kwenye giza, lakini siku zinakuja tutafika kwenye mwanga. Tutapitia maumivu, lakini tutazaa ushindi. Na siku moja taifa hili litasimama huru kweli kweli.
Mhe. Tundu Lissu Siyo Mhaini.
Askofu Mwanamapinduzi
09/04/2026 - Ughaibuni
Wanakuogopa kwasababu ya misimamo yako hakika wewe ni kiongozi mwema sana
Umemaliza mwaka mmoja sasa tangu wakupe gesi ya uhaini.
Na bado hawana ushahidi. Sasa wameamua wakuweke tu Magereza bila kujali uhuru wako.
Wewe ni mshindi sana #FreeLissu
Tunachukulia persona mateso ya Tundu Lissu.. na majaribio yote si tu ya kutuuwa, bali pia kuondoa uwezekano wa sisi kutendewa kama watu. Kutupwa jela, kutekwa, kuteswa na zaidi, haitakuwa bure, na hatasahau! Hatutakubali kuwa raia wa daraja la pili mbele ya muuwaji Samia!
Baba wa haki,mkombozi wa taifa hili, Leo rasmi ameanza mwaka wa pili gerezani bila kosa lolote , chuki za watawala na tamaa za madaraka hawataki kumpa Mwenyekiti wetu Haki yake ya msingi ya kuwa Huru Sisi kama Vijana wa Tanganyika hayupo tayari kuvumilia uonevu huu @Mwinshehe07
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema chama hicho kitaitisha maandamano makubwa kushinikiza serikali imuachie mwenyekiti wa wao Tundu Lissu.
Heche ameyasema hayo jana Alhamisi, Aprili 9, 2026 kwenye kongamano la Chadema wakiadhimisha mwaka mmoja tangu Lissu akamatwe
‼️366 DAYS: PAPAI ANAMALIZA KAZI YA MEKO‼️
⚖️🚨 Mwaka mmoja sasa! Na siku moja Aprili 9, 2025 Magufuli alijaribu kumuua @TunduALissu kwa risasi 16. Leo Suluhu anamuua taratibu kwa mashtaka ya uhaini ya uongo, kufungwa gerezani na tishio la kifo! Huyu PAPAI alouwa watanzania 10,000 @SuluhuSamia anamaliza kile dikteta alianza. Anataka kummaliza kiongozi aliyekubalika na watanzania.
Inatosha! Tuungane sasa kudai #FreeTunduLissu 🔥