My Round of 32 Predictions:
๐ฟ๐ฆ South Africa 0โ1๐จ๐ฆ Canada โ
๐ง๐ท Brazil 2โ1 ๐ฏ๐ต Japan
๐ฉ๐ช Germany 2โ0 ๐ต๐พ Paraguay
๐ณ๐ฑ Netherlands* 2โ2 ๐ฒ๐ฆ Morocco
๐จ๐ฎ Ivory Coast 1โ3 ๐ณ๐ด Norway
๐ซ๐ท France 3โ1 ๐ธ๐ช Sweden
๐ฒ๐ฝ Mexico 2โ0 ๐ช๐จ Ecuador
๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ England 2โ0 ๐จ๐ฉ DR Congo
๐ง๐ช Belgium 1โ2 ๐ธ๐ณ Senegal
๐บ๐ธ USA 0โ2 ๐ง๐ฆ Bosnia
๐ช๐ธ Spain 2โ0 ๐ฆ๐น Austria
๐ต๐น Portugal 1โ1 ๐ญ๐ท Croatia*
๐จ๐ญ Switzerland 1โ1 ๐ฉ๐ฟ Algeria*
๐ฆ๐บ Australia 1โ2 ๐ช๐ฌ Egypt
๐ฆ๐ท Argentina 1โ0 ๐จ๐ป Cape Verde
๐จ๐ด Colombia 2โ1 ๐ฌ๐ญ Ghana
* Team who advance to the next ROUND
What are your predictions?
KUMBUKIZI: Masanja Kadogosa, ambaye kwa sasa ni Mbunge wa Bariadi Vijijini aliyasema hayo Februari 26, 2024, alipokuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), akizungumza na Waandishi wa Habari kabla ya kuanza kwa safari ya majaribio ya treni ya umeme ya abiria kutoka Dar es Salaam kuelekea mjini Morogoro.
Zaidi tembelea https://t.co/pNzLNt64V1
#JamiiForums #Uwajibikaji #ServiceDelivery
โผ๏ธMipango miovu ya CCM na polisiโผ๏ธ
Nimepokea taarifa hapa na pale ila chanzo hiki ndo imeeleza kwa kiina kile kinachosemwa kipo ktk mipango ya mafedhuli dhidi ya CHADEMA
Vijana kupewa silaha na kujifanya wametumwa na Chadema! Ujinga na upumabvu ila ndo wamekomea hapo kiintelijensia!
Kwa mujibu wa mtoa taarifa Walikuwa Morena hotel wakipanga na jana wakati wa giza nene ndo walikuwa wanasambaza vitu
Picha za ushahidi nimehifadhi kwa sasa
Haya ndo mambo yao - ushenzi mtupu!
Plot to implicate opposition CHADEMA in a false flag event! The police and CCM are planning to give weapons to 20 young men in every region then claim that they were armed by Chadema - to prove their stupid lies that #TanzaniaMassacre in October 2025 was done by opposition
#SamiaMustGo #CCMmustgo
๐จ๐๐๐๐๐๐
Ujumbe Kutoka Kwa Jemedar Said Baada ya TANESCO Kutoa Taarifa ya Hitilafu ya Umeme Katika Gridi ya Taifaโฆ!
โ๏ธ๐
๐ฃ๏ธโDaah aisee..! Ila kuna wakati hii nchi inabidi tujihurumie tu aisee. Niko Morogoro Railway Station narudi Dar, SGR ya saa 1:25 usiku hawajondoka na sisi wa saa 2:30 tupo hapa, halafu unaona tangazo la TANESCO @tanesco_official_page unajiuliza kufanya kote booking tangu juzi urudi saa 2:30 ili uwahi shughuli zako ndoto zinafia hapo. Tunahitaji kufanya kitu kama Taifa hii sio poa aisee..!โ
#MeaMswahiliUPDATES