Acha kuperuzi mtandao.
Weka simu chini chap.
Andika malengo ya miaka 5.
Andika malengo ya miaka 3.
Andika malengo ya mwaka 1.
Andia malengo ya miezi 6.
Weka malengo ya miezi 3
Weka malengo ya mwezi, wiki na kila siku.
Hutakuwa kama jana.
#SIKU100ZAUHURU
Kuelekea ufunguzi wa duka jipya🙌Hizi ndizo laptop 10 zilizoshuka bei kwa kiwango kikubwa😶Angalia bei za punguzo hapa chini, LAPTOP ya 5 itakushangaza..
🦷🦷🦷🦷🦷🦷🦷🦷🦷🦷🦷
Jino liliniuna lilitaka kuniua na kung’oa nilishauriwa nisilitoe maana halikua kwenye hali nzuri… nimetumia mchanganyiko wa ( Backing Soda, Tangawizi ya Unga, Ndinu ya Unga na maji kidogo)
Hadi leo ni mwezi wa 8 siskii hata dalili ya Maumivi
Huu mmea unaufahamu??
Skia sisi wakali tunauita FuRahisha✅
Furahisha kwa wafuga kuku ni mmea wa tiba na kinga kwa magonjwa ya kuku
Huu mmea ukiupanda Nyumbani wachawi bye bye
Ukiumwa miguu,unachuma hayo unayapasha moto halafu unayakanyagia. (Ugonjwa ambao unahisi umekanyaga uchawi)
Unalipasua katikati Kisha unapasha motoni then unakanyagi na miguu kama inauma yote unanapona kabisaaaa.
Kwa wenye vipara kama injinia mapunda pasua katikati chukua ule lends wake changanya na mafuta ya Gerry paka kwenye Utalala week mbili Afro hili hapa🫵
Hii ni tiba ya kisukari bandua miiba yake chukua nyama ya ndani utwange
Anika sehemu isiyo na jua
Waweza tandaza ndani mpaka ujihakikishie imekauka.
Hakikisha unapata unga wake.waweza kutia kwenye maji ya vuguvugu kijiko kimoja cha chai
Una unataka kupandisha Cd4 kwa haraka, una kisonono , kaswende, magonjwa yote ya ngono ni kiboko siku tatu ushapona kabisa na yale magonjwa sugu hutibu pia
Huu mmea unatibu magonjwa mengi sana
Sogea Dm ama WhatsApp 0680114218
Ujipatie Package zote unazohitaji🫵
Mdharau Asili
Hufa kikatili.
🩺 TIBA YA MINYOO YOTE TUMBONI 🪱 NA ALLEGY YA NGOZI
Kama umekuwa muda mrefu bila kujitibu minyoo — miezi au hata miaka — basi leo ni siku nzuri ya kusafisha tumbo lako kwa njia ya asili bila dawa za hospitali. 🌿 Hii pia itawafaa wale ambao minyoo imekomaa kiasi Cha kuzalisha sumu AMBAYO imeenea kwenye damu na kupelekea kupata miwasho AMBAYO ukijikuna tuu mwili unavimba Sasa Fanya yafuatayo.
Unachohitaji ni vitu viwili tu:
🥛 Nusu kikombe cha maziwa fresh
🧄 Punje 3 tuu za kitunguu saumu
Namna ya kutayarisha👇
1️⃣ Saga punje zako 3 za kitunguu saumu.
2️⃣ Mimina kwenye nusu kikombe cha maziwa safi.
3️⃣ Changanya vizuri mpaka ichanganyike sawasawa.
4️⃣ Kunywa asubuhi ukiwa bado hujala kitu chochote.
5️⃣Dawa hii unatumia kwa siku mbili tuu.
✨ Ndani ya muda mfupi, minyoo yote tumboni itaanza kufa unaweza jisaidia haja kubwa mda mfupi baadae na ukaishuhudia Minyoo au pengine usione kwani mda mwingine inasagika, na utahisi mwili wako ni mwepesi na tumbo limepumua vizuri.
Tumbo lako nalo linahitaji usafi wa ndani! 🌿
Jaribu tiba hii ya asili leo — rahisi, salama na yenye matokeo ya haraka
Maradhi mengi ikiwemo Kansa huanzia TUMBONI.
HAKUNA ALIYEKULOGA – HIVI NI VITU 10 VINAVYUKUZUIA KUSONGA MBELE.
Watu wengi wanapokutana na changamoto katika maisha yao huanza kuamini kwamba kuna mtu amewaloga au kuna nguvu fulani ya nje inayowazuia kufanikiwa.
A LONG THREAD.