@Bigsyke20@EsirEid Kaka tuache kukashifu imani za wengine,Mtume (SAW) amekataza hilo kwakua wao wakitutukana sisi(UISLAM) kuna sababisha kumtukana (ALLAH) Mungu wa kweli.
Hakuumbwa mwanadamu isipokuwa kwa tone la manii (UCHAFU)
tone ambalo kama utawekewa kwenye kiganja cha mkono wako utakasirika au kupigana kabisa
sasa hiki kibri na jeuri vya nini!
@HecheJohn@RahmaMwita Jiulizeni viongozi waliopita waliwezaje kupata uhuru kutoka kwa wakoroni bila kumwaga damu,muanzie hapo au mnazani hawakuweza kushawishi vurugu zifanyike
Waliona kuwa haifai kufanya hivyo na kwamba kila mmoja ana haki ya kupata matunda ya wanacho kitafuta kila kudhurika.
ุฃุนูู ุงููุงุณ ู ู ุชุฑู ุงูุฏููุง ูุจู ุฃู ุชุชุฑููุ ูุฃูุงุฑ ูุจุฑู ูุจู ุฃู ูุณูููุ ูุฃุฑุถู ุฎุงููู ูุจู ุฃู ูููุงู
Mwenye akili zaidi katika watu ni yule aliyeiacha Dunia kabla Dunia haijamuacha, akalitia nuru kaburi lake kabla hajaishi kwenye kaburi hilo, na akamridhisha Muumba wake kabla ya kukutana naye.