@RITATanzania Nimejaza Application kwa ajili ya kupata cheti kipya cha kuzaliwa kutoka cha zamani. Nimejibiwa kwamba natakiwa kuscn upya cheti changu kwa kuwa hakionekani vizuri. Natakiwa kufanyaje? Je, najaza kama ombi jipya au kuna namna ya kuinginza upya attachment? Asante
Katika kuonyesha mahaba kwa Makocha wetu, kesho kwenye mchezo wa KMC ikifika Dakika ya 43 Mashabiki wote wa YANGA Tutasimama na kupiga makofi kwa Dakika 1 ikiwa ni ishara ya kuwapongeza kwa kuiongoza Timu yetu kutimiza UNBEATEN YA 43 ya Ligi Bila kupoteza.
Wanasema picha moja ni sawa na maneno elfu moja
One picture is worth a thousand words
Rais Museveni akisalimiana na wananchi wake Kampala jana
Umebaini nini ukiangalia hii picha kuanzia anayesalimia mpk wanaosalimiwa - ujuzi mdogo wa body language husaidia 😉
#ChangeEastAfrica
@Mkatalunya@Vicent_mashinji@zittokabwe Sina Shida na Kauli ya Mashinji na Wala si Kali ametumia lugha ya picha kuonyesha uzito wa hoja na si kwamba Mungu anashindwa