@lifeofmshaba@lifeofmshaba Tatizo mmejiegrmeza zaidi katika UPOTOSHAJI, halafu kumbe nyinyi ndio mabumunda sasa๐ hujui bara walipandisha kuwa 500k tangu mwaka jana?๐๐
@cw_pedro Wakati hizo teuzi zilizopitร zilivyowahusish wakristo haikuwa Udini ila teuzi zinazohusisha waislamu ndio udini? Jamani naomba kusisitiza, kabla mtu hujaTweet hakikisha pombe imeisha kichwani,huna stress za maisha na huna madeni, haya mambo yanafanya watu waonekane hawana akili๐
@TanzaniaLeaks Tangu nchi ipate uhuru 1961 @TanzaniaLeaks hajawai post kitu cha ukweli wala cha maana. Hupost tu story za kwenye vijiwe vya kahawa. MPUUZENI kwa herufi kubwa.
@TanzaniaLeaks Unawaona watanzania kam ni wajinga sana eti? Haya tuthibitishie sasa wakati hayo yakiendelea wew ulikuwa wapi muda huo ukaskia yote hayo?
@Kingvannytz_ Hamna ni vile jina lilishindwa kutrend, alitamani watu wamwite vile ila ni kama jambo lilifeli, sasa mtu Bakhressa yeye, Konde Yeye, Tembo yeye, Jeshi yeye sasa watu wapite na lipi๐๐๐๐ kiufupi ushamba ulichangia
@fumbokhanJr Kujaza uwanja haimaanishi mtu anakubalika, hata umaarufu wa mtu unaweza ukafanya watu wajae. Hata kwenye mikutano ya viongozi maarufu wa upinzani tuliona wanachama wa CCM walienda; Na wanachama wa Upinzani pia walienda kweny mikutano kuwaona viongozi wakubwa wa CCM. KAWAIDA HIYO
@Sativa255 Hayo sio matokeo ya Form IV, maana matokeo ya Form IV hayaandikwi majina ya watahiniwa. Kiufupi @Sativa255 anajaribu tu kuonesha chuki zake binafsi na kutaka kumchafua mtu. Huyu jamaa ni miongoni mwa vijana wasio na mchango wowote kwa jamii๐
@TanzaniaOneJezi Wengi mnamlaumu Mabeyo kwakuwa hamjaisoma Ibara ya 37(5) ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kifungu kinaonesha wazi kabisa kuwa Rais akifariki akiwa madarakani basi makamu wa Rais atashika wadhifa huo mpaka miaka mitano ikamilike