Dear Pres @SuluhuSamia: it is sad that you’ve allowed our country to see this level of police brutality with total impunity. @tanpol wamezoea kuua na kufanya ukatili, is that okay with you too? Flabbergasting & unacceptable! We need independent inquiry.
Haya matukio ya mauaji ya Raia lazima yakomeshwe. Imekuwa utamaduni wa kawaida polisi kuua kwa sababu hakuna uwajibikaji.
Ni muda wa kufumua jeshi la polisi kuanzia wizara na wakuu wa jeshi la polisi.
https://t.co/O1xgNNH8Mr
BIBLIA inawatambua watu kama wewe kuwa ni WAPUMBAVU. Umefanya mzaha na Neno la Mungu kwa muda mrefu sana.Hukumu ya Mungu iko mlangoni mwako.Muda wako wa kutumia msalaba kwa uchafu wako umefika mwisho asema Mungu wa Majeshi.
Shuhuda wa tukio la ukamataji wa watu waliotuhumiwa kuwa majambazi huko Serengeti na baadaye kuuawa. Binti huyu alilazimishwa kufanya mapenzi na Baba yake. Baba alipigwa vibaya akiwa uchi wa mnyama mbele ya watoto wake na baadaye kuuawa.
Polisi kilipaswa kuwa chombo salama kwa watu, lakini kila siku mauaji yanatokea mikononi mwa polisi. Watu wanapoteza baba, wadogo zao, mama zao na wapendwa wao, familia zinabaki yatima.Yalifanyika kwa Magufuli mdogo wangu akauwawa, yanafanyika chini ya rais Samia. Hii haikubaliki
Nchi ilipaswa kuwa mikononi mwa @TunduALissu kupitia @ChademaTz 2020, JPM na ccm yake kupitia ubovu wa KATIBA walicheza rafu nyingi venye wanataka.Anyway tuendelee na hii vita ya KATIBA MPYA, nawaahidi kbl hatujafa shilingi itakuwa imegeuka upande wa pili,This is for the records.
Serikali inawadharau sana wananchi kiasi cha kutaka kuwapagia muziki gani wasikilize na muziki gani wasikilize. Serikali inawafanya watu wazima kama vile watoto wadogo. Hivi ukisikiza tu huu muziki ni kwa vipi amani inatoweka nchini? Huu ni ubabe uliopitiliza!
In these days of difficulty, we Tanzanians everywhere must and shall choose the path of social justice...the path of faith, the path of hope, and the path of love toward our fellow man.