Sitoshangaa kama ndani mfumo watakuwa wameshauri walau ufanywe "ujanja" wa kuita kikao cha wadau kujadili upya walau kanuni za Uchaguzi kama alivyoshauri Jaji Warioba hivi karibuni ili kusaini kanuni kufanywe upya baada ya kusikilizwa hoja zote za wadau pamoja na za CHADEMA
Katika Kongamano la Chama cha Mawakili wa Serikali nilimsikiliza Rais Mstaafu Kikwete akisema suala la Uchaguzi Mkuu lisichukuliwe kama suala la kufanyia ulaghai, hila,au ujanja ujanja vinginevyo uchaguzi hautaaminika na hata aliyetangazwa kushinda anaweza kuwa na mashaka 😆
Kama hakuna utashi wa kisiasa wa kufanyia marekebisho vifungu vya KATIBA ya sasa vinavyohusu uchanguzi ili uchaguzi uwe wa HAKI twendelee kupaza sauti hadi utashi huo wa kisiasa ipatikane.Vinginevyo kuwepo uchaguzi ni kupoteza pesa za walipa kodi na kukubali maovu yaendelee
@AnnaTibaijuka@SuluhuSamia@bunge_tz Muda unatosha ili kufanya nini? Inaelekea kupeleka Muswada Bungeni ili Kusogeza Mbele Uchaguzi Mkuu, hilo halito wezekana. Kufanya Marekebisho Muhimu katika Katiba ya JMT ya 1977, hususan, katika Ibara Zote zinazo husu Masuala ya Uchaguzi, nalo halito wezekana. CCM haitaki
@Charlesmarwa_@AnnaTibaijuka@SuluhuSamia@bunge_tz Tatizo Kubwa katika Katiba Hii ni UDHAIFU WA DHANA MUHIMU KATIKA UTAWALA WA SHERIA, UTAWALA BORA,
"checks and balances", Mihimili Mitatu ya Dola isiingiliane. Sasa hivi Mihimili Mingine Yote IMEMEZWA na Mhimili wa
"the executive", UTAWALA au SERIKALI.
@AnnaTibaijuka@SuluhuSamia@bunge_tz Nimefuatilia kwa karibu sana Mdahalo Wote wa TLS uliofanyika leo. I was very disappointed.
Mdahalo ni kama vile ulipigwa Pini.
Tusitarajie kupata Mabadiliko katika Mfumo Wetu wa Uchaguzi kwa Kuwaomba WALEWALE waliosababisha MTANZIKO HUU WA KISIASA watutoe hapa tulipo sasa.
@AnnaTibaijuka@SuluhuSamia@bunge_tz Muda unatosha ili kufanya nini? Inaelekea kupeleka Muswada Bungeni ili Kusogeza Mbele Uchaguzi Mkuu, hilo halito wezekana. Kufanya Marekebisho Muhimu katika Katiba ya JMT ya 1977, hususan, katika Ibara Zote zinazo husu Masuala ya Uchaguzi, nalo halito wezekana. CCM haitaki
@SuluhuSamia@bunge_tz . Asante Jaji Warioba. Muda tulionao unatosha kurekebisha dosari na Uchaguzi ukaendela katika hali ya KUAMINIANA. Let's pick the low hanging fruits. Umekuwa ushauri wangu kwa pande zote siku zote. Na unatolewa kwa nia njema ili tudumishe haki, amani, upendo
Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt.Alex Gehaz Malasusa amesema kuwa shambulio dhidi ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt.Charles Kitima, ni la kinyama, ambapo ametoa wito wa kuendelea kumuombea apone.
@mdudenyagali Mdude, kazi inayofanyika ni nzuri sana. Watu wana hamasa. Sasa waambiwe ukweli. Leo hakuna Tanzania. Muungano ulivunjika 1984, Zanzibar ilipojirejeshea ardhi na Serikali yake. Tanganyika inatawaliwa kama koloni; Katiba Mpya itairudishia uhuru kuchagua Rais na wabunge wake.
@mdudenyagali Mdude, kazi inayofanyika ni nzuri sana. Watu wana hamasa. Sasa waambiwe ukweli. Leo hakuna Tanzania. Muungano ulivunjika 1984, Zanzibar ilipojirejeshea ardhi na Serikali yake. Tanganyika inatawaliwa kama koloni; Katiba Mpya itairudishia uhuru kuchagua Rais na wabunge wake.
Mbinu ni nyingi hivyo tusimwandame Kamanda Ndude Nyagali. Hivi mamlaka ikianza.kusimamisha kila gari la kukodi na kuulizia mahotelini Dar es Salaam ni nani anafanana na No Reforms No Election si itakuwa kama siku ile Mambi Kimambi alipofanya mamlaka ikaandamana yenyewe?!
@mdudenyagali Tujitahidi kuepuka kutoa taarifa kwa maadui zetu. Tuchague kipi kinafaa kwenda public. Tunafeli mambo mengi kwa sbb hizi. Kuna nchi watu waliandaa maandamano kwenye shughuli ya kitaifa. Yaani waliibukia uwanjani alipo Rais na mabango. Askari hawakupiga bomu mkutano.
@mdudenyagali Wewe jamaa kumbe ni mjinga kabisa, taarifa kama hii inaitoa ili iweje? Unawasanua polisi ili iweje?? Umeandika upumbavu kabisa au pengine unatumika kukwamisha unataka baadaye mapolisi yaseme yana taarifa za kiintelenjesia kumbe ni wewe 'umetuchoma' hapa
Wewe hujamsoma Sun Tzu kwa kutumia tafakuri tunduizi. Je ikitokea baadhi ndani ya mamlaka wakianza kuwasumbua wasafiri wa mabasi ya kukodi kwa kusaka wanaodhani ni waumini wa No Reforms No Election wewe unadhani wasafiri kwa watafurahia hilo?! Ahahaha 😊
@mdudenyagali "Ukisoma kitabu The Art of War cha Sun Tzu, utakutana na mafundisho kama haya: 'Mbumbaze adui. Ukiwa na nguvu, mfanye aamini huna; ukiwa karibu, mfanye aamini uko mbali; ukiwa mbali, mfanye aamini uko karibu.' Shida yenu ni kwamba mnaanika kila kitu mbele ya adui!"
Safi sana mwanangu mpendwa Mdude Nyagali kutangaza kuwa Watanzania ni watu wa Upendo na Utu na kuwa wanampejda kiongozi wao Tundu Lissu hivyo wanakwenda kumuonyesha upendo wao atakapoletwa Mahakama ya Kisutu tarehe 24 April si jambo la kukosa kulitanganza kwa nguvu😆
Can you imagine not knowing where to access desperately needed food? Not being able to find safe refuge from attacks? Not being able to find out if help is coming? That is what people are going through in Sudan. You have the power to call for action to break the blackout! #Sudan