Tumeongea na bodaboda na wametupa maoni yao juu ya msaada wao kwa watu wenye ulemavu.
Endelea kuwa hapa Fasihi Media House ili ufahamu zaidi kuhusiana na suala hili
#ThamaniYaMtaa#Fasihi#Swahili#Media#Bodaboda#tanroad
Umeshawahi kutoa msaada kwa mtu mwenye ulemavu hasa kwenye maeneo ya usafiri? Ali Amani Gea, bodaboda kutoka mtaa wa External, Ubungo, yeye anasema msaada wake mkubwa huwa hachukui nauli ya mtu mwenye ulemavu...
Tumeongea n dereva bajaji na wametupa maoni yao juu ya msaada wao kwa watu wenye ulemavu.
Endelea kuwa hapa Fasihi Media House ili ufahamu zaidi kuhusiana na suala hili
#ThamaniYaMtaa#Fasihi#Swahili#Media#Bodaboda#tanroad
Baadhi ya walemavu wanahitaji msaada mkubwa zaidi kuliko wengine ili kufanikisha kusafiri kwao, Erick John Kitamano, ni dereva bajaji kutoka Kariakoo na ametueleza uzoefu wake katika kazi ya usafirishaji...
Tumeongea na bodaboda na wametupa maoni yao juu ya msaada wao kwa watu wenye ulemavu.
Endelea kuwa hapa Fasihi Media House ili ufahamu zaidi kuhusiana na suala hili
#ThamaniYaMtaa#Fasihi#Swahili#Media#Bodaboda#tanroad
Walemavu ni watu wa kama watu wengine, wao kuwa walemavu sio sababu ya kuwatenga bali kuwasaidia pale wanapohitaji msaaada.
Zaidi ya Watanzania milioni 3.3 wanaishi na ulemavu. Je, ni changamoto gani wanakumbana nazo pindi wanapotaka kusafiri hasa kwenye vyombo vya umma...
Zaidi ya Watanzania milioni 3.3 wanaishi na ulemavu. Je, ni changamoto gani wanakumbana nazo pindi wanapotaka kusafiri hasa kwenye vyombo vya umma.
Tumeongea na bodaboda na wametupa maoni yao juu ya msaada wao kwa watu wenye ulemavu.
#ThamaniYaMtaa#Fasihi#Swahili#Media
Lakini tukuahidi kuwa hatutaishia hapo, tutaenda kufanya mahojiano na watu wenye ulemavu kusikia changamoto wanazopitia pindi wanapotaka kusafiri.
Endelea kufatilia Fasihi Media House, Thamani ya Mtaa.
#ThamaniYaMtaa#Fasihi#Swahili#Media#Bodaboda#tanroad
Walemavu ni kundi katika kundi la watu maalumu linalokutana na changamoto nyingi sana linapokuja suala la kusafiri hasa kwa kutumia vyombo vya umma.
Tumezungumza na bodaboda kufahamu ni kwa namna gani wanawasaidia watu wenye ulemavu wanapohitaji kusafiri kwa kutumia vyombo vyao.
Tuliwauliza bodaboda kwa nini baadhi yao hawana mafanikio pamoja na kuwa wanaingiza pesa ya kutosha kufanya mambo makubwa.
Majibu ni kuwa, wamekuwa wakikamatwa sana na kupigwa faini ambazo pia ni kikwazo kwenye maendeleo yao.
#ThamaniYaMtaa#Fasihi#Swahili#Media#Bodaboda
Makondakta wa daladala wamekuwa wakisemwa sana kuhusiana na tabia ya uchafu wa mavazi na mwili, lakini yapo malalamiko kuwa baadhi ya bodaboda pia wapo hivyo.
Hili linaukweli gani kwa bodaboda wa mtaani kwako?
#ThamaniYaMtaa#Fasihi#Swahili#Media#Bodaboda#tanroad
"Nilikuwa natengeneza Ice Cream kama lambalamba lakini kule malipo yake ni madogo" Anasema bwana Said Hamad Said bodaboda kutoka mtaa wa Mtoni kwa Azizi Ally, Dar es Salaam.
#ThamaniYaMtaa#Fasihi#Swahili#Media#Bodaboda#tanroad
Changamoto ya ajira imefanya vijana wengi kuachana na maisha ya ndoto zao na kufanya shughuli yoyote ile ili itakayowaingizia kipato.
Bodaboda ni shughuli iliyoajiri vijana wengi sana Tanzania na kwa kiasi fulani kupunguza wimbi la ukosefo wa ajira ingawa tatizo bado kubwa.
Anatambulika kama Big Sheshe mtaani kwao, pamoja na changamoto nyingi za maisha lakini hakukata tamaa. Kazi ya bodaboda imemuwezesha kununua kiwanja, kuishi kwa kujitegemea (kupanga) na kununua boboda nyingine.
#ThamaniYaMtaa#Fasihi#Swahili#Media#Bodaboda#tanroad
"Hakuna chuo kinafundisha udereva wa pikipiki, kwa hiyo tunajifundisha wenyewe kwa wenyewe"
Kama umewahi kujiuliza kwa nini bodaboa wanahusika sana na ajali za barabarani, basi hii ni moja ya sababu.
#ThamaniYaMtaa#Fasihi#Swahili#Media#Bodaboda#tanroad
Askari wa barabarani kuna muda wanakukamata bila kosa na kisha kuwapotezea muda madereva wa pikipiki. Hiyo ni kwa mujibu wa moja ya bodaboda.
Wewe ni jambo gani huwa linakukera zaidi kuhusu askari wa barabarani?
#ThamaniYaMtaa#Fasihi#Swahili#Media#Bodaboda#tanroad