@mangekimambi@Nuruvazi01 MANGE nisije nikafa bila kukupa mauwa yako Tanzania tunajivunia 1. MANGE 2. LISSU na 3. HECHE Mungu aendelee kuwatunza kwaajili yetu Inshallah
@mangekimambi Mange nakuamini kuliko mtu yeyote hapa Tanzania akitoka Mamangu kumwamini anafuata Mange, na ukikosea mwepesi kuomba RADHI Mange Kimambi ni nani? I Respect you live long dada na Mungu amrehem Mamangu na Mama yako awajaalie pepo za juu Inshallah