@Ugeniaconso Kwa anaetoka jasho jingi kwapani na harufu mbaya, anatakiwa kutumia Deodorant. Yes Nivea ni moja wapo lakini anatakiwa atumie Deodorant ambazo ni ANTIPERSPIRANT. Hii husababisha tezi zitoqzo jasho kusinyaa na kupunguza kutoa jasho. Karibu kwq msaada zaidi. Dr Mwamba 0622101128
@goligani Wengi wameorodhesha hizi shule kongwe. Kabla na baada ya uhuru wameisahau Forodhani au kwakuwa imerudishwa kwa kanisa? Pili makongo na lugalo sio shule kongwe. Zilianza sambamba na mashile mengi ya private.
Marekani imetutumia salamu za Muungano wananchi wa Tanzania. samia suluhu hassan na genge lake wamepotezewa kwa sababu wapo madarakani kwa damu na uongozi wao hautambuliki. Togo & Sierra Leone Marais wao wametambuliwa.
Kifupi: nchi zote wametajwa Marais na wananchi, isipokuwa Tanzania tumetajwa wananchi tu. Salama hizi zote zimetoka jana na juzi.
#TutaelewanaTu #WananchiWenyeNchi
#TanzaniaMassacre #SamiaMustGo #FreeTunduLissu
@mshambuliaji Yanga haijawahi kushinda kesho yoyote. Wanasheria ni wazuri ila nadhani ujuaji mwingi , hawasikilizi ushauri wa kisheria. Issu ya Damaro pia itawakula
@EngMapundajr VITILIGO ni ugonjwa unaosababishwa na kinga ya mwili kureact na seli ya ngozi inaitwa melanocytes, ambazo huzalisha melanin. Melanin ni pigment inayoipa ngozi rangi yake. Melanocytes zikiangamizwa, melanin hazizalishwi hivyo ngozi kuharibika hivyo. Njoo tukutibu 0622101128
@fintanjr_ Hiyo inaitwa loss of libido. Husababishwa na kupungua kwa Hormone zinazoamsha ari ya kujamiiana. Inaweza kuwa ni changamoto tu au matumizi ya njia za uzazi wa mpango.
Nitafute 0622101128