@babuganster2010@mangekimambi Mambo Muhimu Ya Kimaisha Hayataki Ushabiki Wa Kisiasa Sisi Kama Wananchi Tuplay Part Yetu Siasa Tuwaachie Wao Kwa Sababu Hali Inapokua Mbaya Tunaoumia Ni Sisi
@Getrude_mollel@kijanampole_ Hii Sio Njia Nzuri Ya Kuadress Kile Unachotofautiana Na Huyu Jamaa Na Unapaswa Kutambua Hakuna Mwenye Uhakika Na Alipo Kwa Sababu Mambo Yanaenda Kwa Kubadilika Badilika Hivyo Unapaswa Kuheshimu Watu Hata Kama Mnatofautiana Kwenye Mambo Kadhaa
@mackavala2@chino666384@Getrude_mollel Elewa Ninachozungumza Umeona Kuna Mahali Nazungumzia Kuandamana Acheni Ushabiki Wa Kijinga Raia Tunaumia Kazi Haziendi Kisa Siasa Zenu
@chino666384@Getrude_mollel Huyu Dada Anafanya Haya Mambo Kama Mashindano Hajui Ni Kiasi Gani Hii Inshu Inatuumiza Angetulia Asichochee Hasira Kutulie Kesho Tutoke Au Anataka Tulale Tena Ndani Kesho Simuelewi
@AbdulRamad27884@Sativa255 Bado Haiondoi Uhalali Wa Mahitaji Na Maoni Yao Kwa Hiyo Badala Ya Kuwapuuza Tunapaswa Kuwasikiliza Na Kuwaweka Kwenye Njia Sahihi Na Kuwasaidia Kumbuka Sisi Wote Ni Watanzania Na Malengo Yetu Ni Kuendelea Kua Na Nchi Nzuri Na Yenye Amani Kwa Hiyo Kuwapuuza Kunaharibu
@AbdulRamad27884 @himovici000 @Sativa255 Chukua Muda Wako Kasome Aina Za Protests Halafu Nenda Wasikilize Gen Z Hoja Zao Na Kamwe Usije Ukadahani Serikali Haijui Ni Kitu Gani Hawa Vijana Wanachokitaka
@selemasaki Hii Sio Sawa Tuikatae Jamani Leo Sisi Tumelala Tu Mishe Zimelala Nafikiri Ni Muda Sahihi Wa Kufikiria Kipi Kifanyike Kama Taifa Tusirudi Huku Tena Tunaumia
@AbdulRamad27884@Sativa255 Mimi Nimechochea How?Hivi Unaelewa Ninachokisema?Hawa Gen Z Hatupaswi Kuwatia Hasira Kwa Kauli Zetu Huku Mitandaoni Kama Leo Limepita Basi Ingawa Tunapaswa Kutafakari Na Kutafuta Suluhu Ya Kudumu Ya Hizi Mambo Kwa Sababu Zinatutia Hasara Imagine Leo Ni Holiday