@kiboko77@meektheremedy@BillyTronix1 Ebu tuambie jwenye uwakala hizi za mtaanj risk manangement ni nin hasa hizi risk za utapeli na wizi au ndo utaishia kusema kuweka camera
@mzeewauvinza@BillyTronix1 Uwezi kusema ni baishara ya hovyo labda useme ni biashar yenye risk kubwa ya kutapeliwwa na kuibia ila sio baishara ya hovyo, mim ninafanya hii kuda mrefu na ni moja ya biashara ninazozikubali maan zinanipa ela ya kusogeza maisha yangu
@Isayadicksonjr Wakati uku niliwahi sikia kuna mtandao unalalamika sana kuwa mawakala wamezigeuza lipa no. Kama sehemu ya uwakala hivo wanatamani afa leo waziziue lipa no. zote na message za kufingiwa line zinatumwa kwa mawakala kila uchwao
@hamzaalbhanj@IM_Almas1 Ila kumtunza mwanamke au mke ni haq yao kutoka kwetu sisi wanaume, ni jambo alikwepeki kama ukiwa na yaqin ya kuwa Allah yupo sababu yeye ndo katuamrisha kufanya ivo