@Sativa255 nimesoma coment zote ila nimeona wote hmna uelewa kuhusu nguvu ya kanisa katolik kwenye siasa huyu bibi si mwislam mbona alienda vatican kwa papa au uliza nyerere bila nguvu ya kanisa katolik ansingekuwa rais ya mwisho nyie si mnasema TEC ni nan bas waenda wamkamate askofu mmoja