@privaldinho@TZSportPesa Kuna huyu @privaldinho Na @AliKamwe mlivokuwa wachambuzi wa media mlizotoka mlikuwa na akili sana ila baada ya kwenda yanga mmeishiwa akili kabisaaaaaa, wimbi la mashabikinwa yanga Kwa kutokuwa na akili na nyie limewakimbia amoooo saiv mmekuwa Chura mnarukaruka tu🤣🤣🤣🤣
@CharlieBihemo Picha ya kwanza hyo ni apartment ziko barabarani ukiwa Unaelekea U unatoka office za halmashaur ya manispaa ya ilemela. Picha ya pili ni jengo jipya la halmashaur ya manispaa ya ilemela linaloendelea na ujenzi.. kata ya buswelu hyooooo