@sgoodchance@millardayo Kumbuka katiba mama ni ya nchi. Makamu kateuliwa na rais kwa cheo cha makamu, yeye hakuteuliwa na chama kugombea umakamu. Ukimfukuza uanachama anabaki kuwa makamu wa rais tu. mgogoro wa kikatiba hapa.
@IAMartin_@freemanmbowetz Pole sana mura weitho, ndiyo binadamu hao. Inaumiza sana aisee. Kwamba "Nakubali kushindwa na kumpongeza Mkiti mpya Mh Tundu Lisu...." kumbe haikutoka moyoni, daah. Mungu atusaidie
@Jambotv_ Mwaka jana kwenye uchaguzi mlienda kwenye uchaguzi bila Chadema pamoja na kwamba walitoa mawazo yao kurekebisha dosari mkasema hawana hoja, why leo kuwataka kwenye mazungumzo, mnaweza kuendelea bila wao kama mlivyo fanya mwaka jana 2025 kuelekea uchaguzi
@AbroadTanzania Lipeni garama mtu apate matibabu, muache kulialia na nyie ndiyo mko mstari wa mbele kutoa sifa huko siasani. Tena hao wahudumu wakomae sana tu.
@barackmtulo@assengajrr Watu walihama na kuacha mashamba yao kama km 8 na waliko hamia hakuna mashamba ya kulima. Kule waliko toka mahameni hakuna kuvuna, ukilima ngedere na wanyama waharibifu wanakula mazao. Hapa ndiyo shida ya umaskini ilianzia. Nashukuru Nyerere alijutia kuwa mpango waka haukuwa mzur
@assengajrr Ilikuwa mbaya sana yani. Watu walivunjiwa/ chomewa nhumba zao na mali zao kuchukuliwa na makatibu kata na vijiji. Wakiyo kuwa na maswali walipigwa sana yani. Kwa ujumla ilikuwa mbaya sana. Hakuna fidia yoyote watu walilipwa.Mwishowe mradi ulifeli vibaya, nyere6akajugia hilo