Ni hivi...
Hakuna gari inafanya Safar ya mbingun to dunian, kwamba inakuja na mahitaji yako unayo omba kwa God
๐"Ishi vizuri na wanao kuzunguka"
๐๐Roho ya kimasikin acha, Jifunze kwa walio kutangulia, huwezi fanikiwa kwa kuchukia hatua za wengine๐
Kuna kijimstari chembamba Sana "Ra & Na" kati Urafiki na Unafiki
Kuwa makini.๐
Katika 100% ya wenye chuki juu yako
5% kweli uliwakosea
95% wanachuki na hatua zako
Vita ni kali ishi nao kwa password.โ๐ฟ
.๐Oooo...!!!! Wap uliona watu wana vita na kichaa??? Basi jua watu hawana chuki na wew, chuki yao ni matokeo yako
...."kuwa msiri, wao wacha bashiri "....
Wala hakuna ulicho wakose, hata ukiwauliza kwanin mnachuki na mim?? Watakujibu "hamna hofu yako tu" ila ukweli ni kwamba ulipo anza kujitafuta "walisema ngoja tuone atafika wap" ulipokanyaga na kuvuka ule stari wa mpaka waodhani hutofika ndio chuki zao zilipoanzia ๐ni wivu tu๐ฎ