@Be_FrankSr Hajawah tokea kama Roma
Akiamua kuachia track inayoikosoa
Serikali na uongoz kwa ujumla
Huwa hakwepeshi anarusha jiwe kwa mhusika
Tunatak ile rimoti itolewe isituyumbishe
@bigi047 Hiv elfu sahan ya birian na sahan ya mavi kipi chakula bora
Acha ufwala mazeee kaa wize atabak kilelen had leo hakun aliyezipa pengo, nikk wala zilla, sembuse huy wa matambo ya nmeish mbele